Nitajuaje?

muombe masaburi akikupa na hajawai kumpa mtu(yani ni bikira)ujue anakupenda
Aminata! Umelianzisha! Ukiulizwa na ww swali la kizushi domo lisikujae mate! Funguka een'hee kwako wewe yule waubani wako ndy kusema unam'bariki saburi kama huna akili nzuri yaani mwanzo mwisho au? Unampa kwa ratiba maalum?
 
Bangi bwana, aaaagh. Unamuuliza nani? Kama hamna cha kuandika si uwe unasoma tu. Utumbo mtupu.
 
Et wandugu,nitajuaje kama huyu gal ananipenda?

Usituletee utumbo hapa. Kama huna cha kuandika, uwe unasoma tu. Peleka jukwaa husika, hapa sio mahala pake. Weka kitu watu wacheke waongeze siku za kuishi. Usituletee upuuzi wako hapa.
 
Back
Top Bottom