Habari za wakati huu, JamiiForums?
Hivi nikitaka kuagiza gari kutoka Japan kwa kutumia watu wenye uzoefu wa kuagiza magari, nitaaminije kama kweli gari amelitoa japani moja kwa moja, maana nahisi kuna watu baadhi Wanatangaza kwamba wanaagiza kutoka nje ie, Japani nk, lakini ukweli hawaagizi huko, wanachukua magari yanayouzwa hapa hapa kwetu na kuwaambia wateja wao kwamba wameyaagiza kutoka nje.
Swali langu ni kwamba nitajuaje kama gari langu limetoka nje kweli?