Totozi za Kumwaga..zinakatiza katiza..alafu..tetesi nilizopata wengi Boom Wamemaliza.
"Vox Populi,Vox dei"
mhh kumbe na we mdau.!!!kariakoo mitaa ya kuelekea hall 3, hall 4 na hall 1.
nimetokea uko nimekaa hall 1, kuna mama alikuwa anauza mihogo tulikuwa tunaiita LIMBWATA mana ukienda kariakoo lazima ununue.mhh kumbe na we mdau.!!!