PICHA: Huenda Rais Samia akawa ndio Rais anayevuta watu wengi zaidi kwenye mikutano yake kuliko marais wote waliomtangulia

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,984
4,083
Kwenye hili naamini tutakubaliana.

Ukipita huku mitandaoni hasa hapa JF unaweza ukadhani ni kweli Rais Samia Suluhu Hassan Wananchi wanamchukia kumbe ni propaganda chafu tu za Wapinzani waliokosa kila kitu.

Tangu nimeanza kufuatilia ziara za marais hasa hawa wa Tanzania sijawahi kuona Rais anayekusanya watu wengi namna hii tena barabarani tu.

Nyota ya Mama Samia hakika inanga'ra sana tena Upinzani usipotia bidii hawatapata hata Jimbo moja la kuongoza mark my words.

Angalia hii picha ni moja ya ziara yake huko kusini, Kuna Msemo mmoja wa kilatini unasema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu"Vox Populi, Vox Dei"

IMG-20230922-WA0025.jpg

#Kusini imeamua
#Tanzania imeamua
#MAMASAMIA HAKAMATIKI
 
Kwenye hili naamini tutakubaliana,

Ukipita huku mitandaoni hasa hapa jf unaweza ukadhani ni kweli Rais Samia Suluhu Hassan Wananchi wanamchukia kumbe ni propaganda chafu tu za Wapinzani waliokosa kila kitu,

Tangu nimeanza kufuatilia ziara za marais hasa hawa wa Tanzania sijawahi kuona Rais anayekusanya watu wengi namna hii tena barabarani tu,

Nyota ya Mama Samia hakika inanga'ra sana tena Upinzani usipotia bidii hawatapata hata Jimbo moja la kuongoza mark my words,

Angalia hii picha ni moja ya ziara yake huko kusini, Kuna Msemo mmoja wa kilatini unasema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu"Vox Populi, Vox Dei"

View attachment 2758250
#Kusini imeamua
#Tanzania imeamua
#MAMASAMIA HAKAMATIKI
Sarcasm (well played)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom