DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Napenda cdm inavyofanya kazi zake.
Hapana mkuu, ataapishwa kesho kutwa.Ataapishwa kesho leo ndo ameondoka Arusha kwenda Dodoma.
Maneno aliyoyatoa spika kwamba kutokana na wabunge hao kutokuwepo leo watasubiri mpaka kamati ya bunge iwapangie muda wakati mwingine.Je kwa kipindi hiki kuanzia kesho watakuwepo watakaa nje ya bunge bila kuhudhuria?Je spika aliwataarifu kwamba wanapaswa wawepo wakati wa kuanza kikao hiki ili wasije wakalaumiwa.Mwisho kama ushauri ofisi ya spika ifanye kazi kwa haki na si kwa jazba ili bunge liwe chombo mahsusi cha wananchi.Naomba kuwasilisha.
Naibu kiongozi wa upinzani Bungeni Mh Zitto amekiri CDM hakikusoma vizuri kanuni za bunge. Ameomba msamaha kwa spika, sasa wataapishwa alhmamisi. Jumatano watakuwa wanapewa maelekezo jinsi bunge linavyofanya kazi.
Hapana mkuu, ataapishwa kesho kutwa. Kulikuwa na kutoelewana baina ya viongozi wa Chadema waliopo hapa Dodoma na Uongozi wa bunge. Chadem waliomba wabunge Hao waapishwe kesho, lakini kanuni zinasema wabunge wapya wataapishwa simu ya kikao cha kwanza na shughuli hiyo itakuwa ya kwanza. Lakini katibu wa bunge hakuwaeleza hivyo Chadema na ndio maana hats matangazo yaliyotolewa awali yalionyesha kuwa hawataapishwa Leo. Lakini kikao Kilipoanza ash ikaonekana kwenye order paper kuwa uapishwaji unapaswa kuwepo. Lakini Chadema na bunge wameelewana na sass Nassari na mwenzake wataapishwa Alhamis. Ksho Nassari atafanyiwa orientation.
Masafara wake, ukiongozwa na mbowe na magari zaidi ya kumi ndio umeingia D odom a kwa mbwembwe Kama nusu saa iliyopita

Tulikua nao mky sgd saa 9mchana leo
Kama kesho wanatakiwa wafanyiwe orientation Kama tunavyoambiwa, je Kama wangeapishwa Leo wangafanyiwa orientation lini? Baada ya kuapishwa?Tatizo kubwa tulilonalo sasa ni siasa za kuviziana!
Magari zaidi ya 10 X how many litres of petrol=KODI ZETU.
CDM chama makini, CCM walitaka aapishwe leo j4 kwa vile wabunge wengi wa CCM wangekuwa dar kwenye mazishi, sasa ni Alhamis hata kama kesho watajidai wako safarini kesho kutwa lazima wampigie makofi dogo janja hawana choice.Ninachoona hapa CHADEMA wameshausoma mchezo wa CCM na kuulewa vizuri na sasa wanawapiga danadana hawa vikongwe (ccm).