Nini kimempata Nassari?

CDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......

Hujui halafu unajifanya unajua kamwe hatuta kujulisha
 
CDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......
Join Date : 8th April 2012
Posts : 6

Rep Power : 302
Likes Received1
Likes Given0

sio kosa lako, najua jana umenyimwa unyumba manake hawara wako alikua kwenye maombolezo, kajipange upya, unazani cdm wana haja na media kama ubani mlotoa mkaita hadi camera?????
shame on u as well
 
Back
Top Bottom