Nini kimempata Nassari?

Wataapishwaje wkt bunge limepwaya leo?
Yani bila vigelegele, vifijo na kuwakoga CCM?
Ngojeni msiba uishe ndo waapishwe bwana, watu wasingeweza kufanya shangwe wkt shujaa Kanumba hajazikwa.
 
Du jamaa dogo janja kweli kacheki leo watu macho masikio yapo kwa kanumba,anataka apate siku yake ambayo watz wote watakuwa wanacheki bunge.
 
chadema tupunguze jeuri hii haikubaliki.!

Hapana siyo Jeuri kwani hamujuwagi kuwa leo vigogo wapo Leaders Club kwa ajili ya mazishi ya RIP KANUMBA???? Nao pia wameenda huko Kinondoni kushiriki mazishi


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Sishangai kwa huyu dogo akili yake ilivyo alisema anakwenda bungen kutafuta mke. Inawezekana wako honey moon
 
Kutokuwepo sio issue lakini kushindwa kutoa taarifa ya kutokuwepo huko nadhani ni issue ambayo inahitaji maelezo kutoka kwa JN.


mkuu taarifa ilishatoka kuwa leo ni siku ya kwenda kukata rufaa ya kamanda lema. nasari yuko karibu sana na kamanda hawezi kumwacha peke yake. kama kuapishwa keshaapishwa na wapigakura wake iliyobaki ni fomality tu basi.
 
Walishaapishwa na wananchi! haya mengine madoido tu ambayo hayabadilishi chochote
 
Tusitete ujinga kisa ni chama tunachokipenda, ingekuwa ccm du mngeongea mpaka povu mdomoni, ila cdm sawa tu. Bunge halina taharifa, ratiba ilitolewa tangia wiki iliyopita, ingekuwa mmoja sawa wote wa wawili, cdm imeanza kulewa sifa.
 
Du jamaa dogo janja kweli kacheki leo watu macho masikio yapo kwa kanumba,anataka apate siku yake ambayo watz wote watakuwa wanacheki bunge.

haha ha a mm ni chadem ila hapa umenichekesha kweli...kwa hio jamaa ka target au sio?
 
wewe akili yako haina akili. mpambanaji yupo mahakama ya rufaa kukata rufaa ya kamanda lema. mlifkiri mnaweza kubaka demokrasia kilaini mmekwama.

ndugu wote wawili wameenda kukata rufaa ya lema, kwan hakuna viongozi wengine wa kumsindikiza lema, na mbona hawajatoa taharifa, huku si kudharau bunge, tulitegemea awe mfano mwema! Tusishabikie ujinga, hata kama chama tunakipenda.
 
Strategically kuwaapisha leo siku ambayo watanzania wamekusanyika kumzika Star wa bongo movie makes no sense. Halafu mimi nilisikia kuwa wanaapishwa Jumatano labla kuna mchanganyiko wa ratiba.
 
Jambo usilolijua, ni kama usiku wa kiza. Tutulie tutapata majawabu ya uhakika.
 
Hata mimi nakumbuka ratiba ya awali ilikuwa inasema ni jtano..sasa sijui maza alibadilisha juu kwa juu..au alitaka kuwaumbua tuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom