Anchimba visima
Nasari ni binaadamu kama wewe nadhani tusimhukumu kwanza tujue ni kwanini hajaingia bungeni maana siyo yeye wa kwanza kutokuingia bungeni siku ya kuapishwa. Hata kama amepatwa na tumbo la kuendesha aingie hivyohivyo bungeni kwasababu ni siku ya kuapishwa?
anamajonzi,
Spika hana sababu ya kutokuwepo kwa wabunge hao wawili lakini ametoa mwongozo kwamba kamati ya uongozi itapanga tarehe nyingine ya kuwaapisha
kabla ya kulaumu jua chanzo cha tatizo,inabidi kujua kwa nini hawajafika kuliko kupoint finger.
Kama anaumwa au kapata matatizo kuelekea Dodoma au ana sababu ya msingi ya kutofika kwa wakati!
Ah, mbona ililshashukaga siku nyingi tokea wamtoe 6 kutoka katika kiti chake kile?mkuu haiwezekani wasitokee wote wawili nahisi kama heshima ya bunge inashuka.
duh, hii kali Barua ya mwaliko tena, si alialikwa na wapiga kura/shahada??hamna sheria yoyote ya bunge inayo mfunga coz hajaapa kwa chochote kuhusu bunge. Wampe adhabu kwa makubaliano yapi aliyo sign? je kama hajapewa barua ya mwaliko?