Nini kimempata Nassari?

Kutoapishwa leo, anakuwa amevunja kanuni ipi ya bunge? Manake maneno yanawatoka tu kama vile hamna ushirikiano na vichwa vyenu!
 
to be very open, kama hakuna maelezo sahihi yatakayotolewa, hili jambo ni kosa kwa chama hichi kinachotoa matumaini kwa wananchi.
mistake like this will cost its movement.
 
Msafara ndio kwanza umeondoka Arumeru kuelekea Karatu kumpitia mbunge wa viti maalum mpya halafu ndio uelekee Dodoma. Kama Kamati ya Bunge ikiamua kumwapisha wiki ijayo hao wote kwenye msafara itabidi warudi. Huu ni uzembe wa CDM usiokubalika. Hatukubali muwe munaendekeza sherehe badala ya mapambano.
 
Kwa uelewa wangu mbunge mpya ama mgeni huwa anapangiwa siku (tarehe) na muda wa kuapishwa sasa km siku ama hiyo tarehe na muda haujafika aende bungeni kufanya nini?

akiwahi ataambiwa ana kiherehere akichelewa ataambiwa anadharahu ashike lipi kati ya haya!!!
 
Mimi nahisi ni kwa sababu za kiufundi zaidi yaani Babu ameanza mambo yake wewe unasemaje kuhusu hili?
 
Nice hebu tufanye upembuzi coz nimempigia Nassari hapatikani sasa goja nimuulize John Heche
 
Wabunge wa chama cha demokrasia hawajakuwepo bungeni kwa kuapishwa kikao cha mwanzo.sababu hatujui.je taarifa ya kuapishwa kwao haikuwafikia au la?
Mwenye neno kuhusu kutoapiapishwa kwao aseme.

Kuna mambo ambayo mpaka sasa spika hajayaweka sawa. Kwa maritime ya mwasiliano yaliyokuwepo awali ratiba ya kuapishwa wabunge wapya ni Jumatano ila ofisi ya Bunge ikafanya mabadiliko over the night.
 
Mkekuu yawezekana ila Dodoma Hakuna trufick on way na yeye alikuwa akilijua hilo so angeliwahi hata toka jana
 
Mimi sijangai kwa akili ya huyu dogo alisema tangu kwenye kampeni kuwa huko anakwenda kutafuta mchumba labda amempata na yuko nae honey moon. Sio jambo la kawaida hili. Aibu na fedheha kwa wapiga kura
 
Back
Top Bottom