Asante mkuu.
je unakumbuka mkiwa mmejipaga asubuhi,unaweka kioo chini alafu unakisukuma na mguu mpaka katikati
ya miguu yake,hapo unaanza kupata video ya bure
au mnasogeza viti, msichana akitaka kukaa ananguka walio mbele wanapata video ya bure
Asante mkuu.
je unakumbuka mkiwa mmejipaga asubuhi,unaweka kioo chini alafu unakisukuma na mguu mpaka katikati
ya miguu yake,hapo unaanza kupata video ya bure
Asante mkuu.
je unakumbuka mkiwa mmejipaga asubuhi,unaweka kioo chini alafu unakisukuma na mguu mpaka katikati
ya miguu yake,hapo unaanza kupata video ya bure
Mi nilikuwa naenda shule kwa fosi ya dingi, nakumbuka siku moja alitoka mapema sana akasema anaenda kuhudhuria kikao nami niikaamua kuitumia chansi ile kutokwenda shule kwa imani kuwa mpaka muda anarudi muda wa kutoka shule utakuwa umefika, lakini ikawa tofauti. Unaweza ukabashiri kilichotokea.
Dah kazi ulikuwa nayo, mi bwana nilikuwa namuingiza maza chaka sana na hata wakati mwingine anajua kabisa huu uongo but inabidi aukubali coz nakuwa macho makavubahati mbaya alikuwa rafiki wa walimu karibu wote, hivyo kudanganya ilikuwa risk kubwa zaidi,
hayo walifanya kaka zangu, lakini adhabu walizokuwa wanapata pia zilikuwa hamasa kwangu kutokudanganya.
Dah huyo jamaa inabidi umtafute umuone alivyokuwa siku hizi. Hata mi nisingerudi tenaTulikuwa nadhani darasa la tano,kuna jamaa alikuwa hana bahati yakuongea na vidada
alikuwa muoga sana hata kuwakaribia.
Siku moja mchana wanafunzi tumerudi nyumbani kula,yeye alibaki akapaka upupu
kwaenye viti vya vidada wote.Mchana tulipo rudi darasani,Vidada vikaanza kuwashwa na
na kuvua nguo.
Ikaja kujulikana nani kaweka upupu,mwalimu mkuu aka agiza upupu tukaitwa holini
jamaa akavuliwa kaptura akapakwa upupu akijikuna tu fimbo,tokea hapo hakurudi shule tena.
So sad.
Mfueni wa hatari, halafu ulikuwa ukibaki kwenye mazingira hayo unakuwa na hofu kutwa nzima na karibu siku tatu nzima unahisi atagundua hukwenda shuleMi nilikuwa naenda shule kwa fosi ya dingi, nakumbuka siku moja alitoka mapema sana akasema anaenda kuhudhuria kikao nami niikaamua kuitumia chansi ile kutokwenda shule kwa imani kuwa mpaka muda anarudi muda wa kutoka shule utakuwa umefika, lakini ikawa tofauti. Unaweza ukabashiri kilichotokea.
Tulikuwa nadhani darasa la tano,kuna jamaa alikuwa hana bahati yakuongea na vidada
alikuwa muoga sana hata kuwakaribia.
Siku moja mchana wanafunzi tumerudi nyumbani kula,yeye alibaki akapaka upupu
kwaenye viti vya vidada wote.Mchana tulipo rudi darasani,Vidada vikaanza kuwashwa na
na kuvua nguo.
Ikaja kujulikana nani kaweka upupu,mwalimu mkuu aka agiza upupu tukaitwa holini
jamaa akavuliwa kaptura akapakwa upupu akijikuna tu fimbo,tokea hapo hakurudi shule tena.
So sad.
Inawezekana mkuuhuyu labda
atakuwa alikuwa na matatizo
hasa ya kunyanyaswa
na wanawake kama mama wa kambo, shangazi ikampelekea kuwachukia wanawake
Watoto wengi wanapokuwa shule za msingi huwa hawapendi kwenda shule. Mara nyingi hii inachangiwa na tatizo la kuamka asubuhi wakati bado ana usingizi au kubanwa kwa muda mrefu wakati anataka kucheza.
Sasa hebu we kumbuka nini hasa kilikuwa kinakufanya uende shule kila siku pamoja na kwamba ilikuwa inakukera sana kuamka asubuhi?
Nice lessonMimi mtaani kwetu watoto wengi walikuwa hawaendi shule, lakini mm nilienda kwa kuogopa mikwara ya baba. Siku aliyonikuta ninacheza sikwenda shule...duh!
Alinikamata sikio na kuniburuza mpaka shule, njia nzima kofi moja kila baada ya dakika 5 +/-. Kufika shule alinitaka nimwoneshe darasa langu. Tulipoingia kulikuwa na kiti kimoja kitupu, changu. Akaenda kukaa pale na kusema:
"Wewe rejea nyumbani ukacheze mimi nitabaki hapa kusoma kwa niaba yako". Nikiwa ninalia na kuona siondoki, alichukua bakora ya mwalimu na kuanza kunicharaza nazo. Sio kwa maumivu ya bakora tu, ile ilikuwa aibu nisiyoweza kuisahau. Kuanzia hapo sikuwacha tena kwenda shule hata kama nilikuwa mgonjwa.
Dah umenikumbusha siku moja nasikiliza kipindi cha watoto Radio One, wakati wa methali dogo mmoja akaibuka akauliza hilo "Kapigwa chini kavimba juu"Iko,hii nyingine iliyutokea kwenye kipindi cha kiswahili.Mwalimu alikuwa akija darasani
anakusimamisha na anakuambia useme methali kisha wengine mnajibu.
Kuna jamaa alikuwa mtundu sana alipo ambiwa atoe methali akasema"Kapigwa juu kavimba chini"
Sisi tukakaa kimya kuogopa kujibu,jamaa akaambiwa na mwalimu ajibu methali yake,alipo kataa kujibu
alpigwa fito ile mbaya.
Nimeipenda hii lol!Iko,hii nyingine iliyutokea kwenye kipindi cha kiswahili.Mwalimu alikuwa akija darasani
anakusimamisha na anakuambia useme methali kisha wengine mnajibu.
Kuna jamaa alikuwa mtundu sana alipo ambiwa atoe methali akasema"Kapigwa juu kavimba chini"
Sisi tukakaa kimya kuogopa kujibu,jamaa akaambiwa na mwalimu ajibu methali yake,alipo kataa kujibu
alpigwa fito ile mbaya.
Hahahahaaa hukuwahi kusingizia daftari tumekusanya wakati unalo?
Nice lesson