Nini kilikuwa kinakusukuma uende shule?

dah kwa kweli primary vitu ambavyo vilikuwa vikinisukuma kwenda shule cha kwaanza kabisa ni kucheza mpira. siku hakuna mpira aka kisambi aka chandimu niikuwa nakosa raha mnoo. cha pili totoz aisee nikiwa std 2 kulikuwa na totoz boooomba mnooo, veronika na lilian kwa kweli walikuwa wakinifanya niamke mapema sana niwahi darasani! na wao walinijua napenda company yao jamani arrrgh. cha tatu ni friendz, kweli huwa nafanikiwa kuwa friendz wenye interest km zangu tunashikamana mpaka watu wanadhani sisi ni ndugu. cha nne ni kaka kipenzi niliyemfuata, huyu alinifundisha mambo mengi saaana alikuwa akiniamsha saa kumi na moja asubuhi tunaoga kumi na mbili kamili tuko barabarani tukielekea class, mungu ailaze roho yake mahala pema peponi ameen
 
:hat:Nilikuwa sipendi kwenda shambani.....

zhangwei3.jpg

zhangwei4.jpg

zhangwei5.jpg

zhangwei2.jpg
 
mi nilikuwa nafurahia shule wakati wa umitashumta tu,huko kwingine mtoro
 
Mi kwa kweli zilikuwa ni fimbo za babu Kaiwanga huyu mwalimu babu alikuwa anachapa na makonzi kwa sana yani hata nikiwa na usingizi kiasi gani nikimuwaza tu huyoo mwenyewe naenda shule

Umenikumbusha Mwl Maliwanga, alikuwa na sifa kama hizo.
 
dah kwa kweli primary vitu ambavyo vilikuwa vikinisukuma kwenda shule cha kwaanza kabisa ni kucheza mpira. siku hakuna mpira aka kisambi aka chandimu niikuwa nakosa raha mnoo. cha pili totoz aisee nikiwa std 2 kulikuwa na totoz boooomba mnooo, veronika na lilian kwa kweli walikuwa wakinifanya niamke mapema sana niwahi darasani! na wao walinijua napenda company yao jamani arrrgh. cha tatu ni friendz, kweli huwa nafanikiwa kuwa friendz wenye interest km zangu tunashikamana mpaka watu wanadhani sisi ni ndugu. cha nne ni kaka kipenzi niliyemfuata, huyu alinifundisha mambo mengi saaana alikuwa akiniamsha saa kumi na moja asubuhi tunaoga kumi na mbili kamili tuko barabarani tukielekea class, mungu ailaze roho yake mahala pema peponi ameen
Mi nakubaliana na wewe kabisa wavulana wengi tulikuwa tunapelekwa na totoz halafu sasa tabu huwezi kusema unafurahia kuziangalia tu dah!
 
Umenikumbusha Mwl Maliwanga, alikuwa na sifa kama hizo.
Kulikuwa na mwalimu mmoja nuksi anaitwa Malita huyo mpaka iliundwa kamati maalum ya kuhakikisha tunapomaliza darasa la saba anapigwa
 
walibadili jina,ila najua ni UMISHUMTA.tulishawahi kwenda shule ni hirizi kiunoni na mahindi ya kuchoma
Dah mi hayo yalinikuta wakati wa UMISETA tulikuwa tunawekwa kambini na mtaalam anakuja, sasa ole wako uonekane umekuja kusalimiwa na mwanamke. Unapewa bakora za hatari na kambini unafukuzwa
 
nakumbuka wanafunzi wengine wa primary wakubwa mno na wanapigana na waalimu
 
Kulikuwa na mwalimu mmoja nuksi anaitwa Malita huyo mpaka iliundwa kamati maalum ya kuhakikisha tunapomaliza darasa la saba anapigwa

Huyo Mwl namkumbuka sana, ilikuwa kila ikifika zamu yake mtu unalala umeshavaa uniform na umepiga mswaki kabisa, ukisikia jogoo la kwanza linawika unakurupuka kwenda shule bila hata kuangalia ni saa ngapi.
Hafu jamaa alikuwa anapenda vitoto vya kike sana.
 
Dah hilo neno maana alitusakama sana wakati tuko darasa la saba kisa alikuwa anakataka kabinti fulani hivi ambako pia kalikuwa kanatakwa na jamaa mmoja tulikuwa tunasoma naye. So wote tukawa tunakuwa victimized
 
Back
Top Bottom