Hapo azima ulikuwa unazichukia sana siku za Jumatatu na alhamisi maana ni siku za usafi na wacheza mpira shuleni wote walikuwa wachafuUnapokua na kukuta watoto wa rika lako wanaenda shule lazma na wewe utamani. Wakati huo, nilikuwa nacheza sana mpira wa miguu na hicho ndicho kilikuwa kinanifanya nisikose shule. Mpira asubuhi kabla ya kwenda mstarini, mpira mapumziko, mpira wakati wa kutoka.
umeanza uhuni mapema eh
Visichana virembo,we acha tuuu.Hasa kakiwa kageni shuleni ni balaa.
Dah believe me pamoja na mambo meeengi lakini hili lilikuwa mojawapo la yaliyokuwa yananifanya niende shule, yaani nikiwaona tu darasani roho yangu inasuuzika
Halafu unachora moyo na mkuki kwanye mkono akikuangalia tu,unamuonyeha.
Game likienda vibaya anakushitaki kwa mwalimu,hapo utalamba fimbo kama mvua
Hahahahaaa ulikuwa unafundishwa kuwa mamaNilikuwa naenda shule ili nisikae na mtoto wa dada yangu kwan walikuwa wananilzazimisha kucheza naye au kumwangalia asije akaanguka akiwa wamemlaza wakati mie nilitaka kwenda kitaa kucheza, wakati mtoto mwenyewe alikuwa mdogo hawezi kuongea wala kutembea!
Dah we ulikuwa mkali mi sikufikia huko ila hata akikugeukia tu lazima hiyo ndo ilikuwa stori kwa washkaji siku nzima "Yule demu kaniangalia bhana" halafu unaongeza chumvi "Nikamkonyeza"Halafu unachora moyo na mkuki kwanye mkono akikuangalia tu,unamuonyeha.
Game likienda vibaya anakushitaki kwa mwalimu,hapo utalamba fimbo kama mvua
Hahahahah!kwa akili ya wakati ule nilikua naona km wananionea tu ikawa ni bora kwenda shule!Hahahahaaa ulikuwa unafundishwa kuwa mama
Hahahahaaa hukuwahi kusingizia daftari tumekusanya wakati unalo?Sie kwetu haikuwapo option ya kubaki home, au shule au hospitali basi. hata sijui walifanyaje wale wazee!!
pamoja na hayo nadhani ni mchanganyiko wa mambo mengi, ila mojawapo ni jinsi home palivyokuwa panabore, hakuna watoto (wote wameenda shule) dada yuko bize na redio yake na kazi zake. wakati huo hakukuwa na tv wala games
Yani kukaa home ilikuwa NO NO NO out of question kabisa, alternative ni kwenda hospitali, ambayo bora shule
Pia shule ilikuwa ina raha sana, tulikuwa tunaenda na mipira ya rede, tunafundishana kusuka, kupiga stori nk, lakini kusoma na kufaulu ni one of the least interests kwa wakati ule
nilitaka kusahau, mama alikuwa anashtukiza kucheki tarehe za kwenye madaftari
ha ha ha ha
Nakugongea LIKE
ulijua mambo ya moyo primary?
Pia akikuangalia unabusu hewa,hapo unajihisi ni yeyeDah we ulikuwa mkali mi sikufikia huko ila hata akikugeukia tu lazima hiyo ndo ilikuwa stori kwa washkaji siku nzima "Yule demu kaniangalia bhana" halafu unaongeza chumvi "Nikamkonyeza"
Dah hiyo tulikuwa tunaifanya sana wakati tumemaliza mitihani tunasubiri kufunga shule, ila ilitufanya tukala mkong'oto wa kufa mtu siku mojaAsante mkuu.
je unakumbuka mkiwa mmejipaga asubuhi,unaweka kioo chini alafu unakisukuma na mguu mpaka katikati
ya miguu yake,hapo unaanza kupata video ya bure
Ulikuwa unaamshwa kwenda shule nini? Dah si enzi hizo home hakuna mtu anakuamsha ukichelewa kivyako ila tu hutakiwi kuonekana home siku ya shule na halafu umechelewa nisikilizie kichapo huko shulemimi sikuwahi kupenda kwenda shule asubuhi. ndani ya mwaka nlikua nawahi namba mara 4 tu
Hahahahaaa hukuwahi kusingizia daftari tumekusanya wakati unalo?