ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...
njoo tupige ulabu. Nitarudi baadae
mi npo mwanza nimemaliza f6 mwaka jana.Upo wapi?unautalaamu gani au umesomea nini?kila biashara inamazingira yake
mi npo mwanza nimemaliza f6 mwaka jana.
wewe ni mtoto wa fisadi nini?umepata wapi hizo fedha.
urudi na ushauri wa maana.
Labda baiskeliNimeisharudi, huyu dogo anunue bodaboda. Natoka tena kidogo
ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...
Wewe jinsia gani kwanza?ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...