nina tsh.1000000.....

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...
 
ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...

Si ujengee computer training center unayotaka kufungua?
 
Fungua duka la vyakula,maeneo yenye watu wengi kama bichi ya balimi...au uwe baba lishe kwa kuwapikia watu chakulas.kila la heri.
 
kweli m pesa inalipa!ila voda wamesitisha kutoa uwakala!kanunue mchele shamba uje kuuza mjini!1m inatosha sana kuanzia!kuna thread nyng sana zipo huku jf zitafute zitakusaidia sana.
 
Milioni 1?????? Mbona ndogo sana kwa biashara nzuri? Basi fungua banda la kuuza mama/baba lishe sehemu ya sokoni au stand ya basi ila pika chakula kizuri utapata watu na msingi utakua na ukifikisha mil10 nitafute nikupe bidness idea ya fast money big money heavy weight
 
ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...

na we nawe..sasa hiyo hela hata kununua samsung galaxy 2 uuzie nyago haitoshi..nunua bb bold 8520 ya deal kwa laki 2 inayobaki njoo makumbusho tucheze ngwasuma na kupapasa midubwana....biashara kitu gani bwana..
 
Ushauri mwingine bana! Kweli masaburi wapo wengi,nitumie msg nikuongezee million 5 harafu nikupe idea nzuri na nitakuwa nafatilia
 
ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...
Wewe jinsia gani kwanza?
Inaweza kuchangia kwenye ushauri nitakaokupa!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom