nina tsh.1000000.....

jaribu kuangalia baishara unapenda wewe kufanya then anza kidogo kidogo...na mwamini mungu natakusaidia hukiwa mwminifu..muhimu usichague kazi ndugu..kama unaweza nunua mitumba kisha peleka kwenye magulio ya vijijini huza huko hasa kipindi cha mavuno..
 
nunua camera digital laki ya laki 3 then nunua mashine ya ku'print passport size dakika 3 ya sh. laki 4 then tafuta place nzuri (junction) like karibu na maofisi ya serikali, mabenki, mahakama vyuo n.k fungua kibanda chako upige picha za passport za dakika 3, itakulipa fasta... ila kumbuka kurudi shule!
 
nunua camera digital laki ya laki 3 then nunua mashine ya ku'print passport size dakika 3 ya sh. laki 4 then tafuta place nzuri (junction) like karibu na maofisi ya serikali, mabenki, mahakama vyuo n.k fungua kibanda chako upige picha za passport za dakika 3, itakulipa fasta... ila kumbuka kurudi shule!
nimependa idea hii, ngoja niifanyie kazi pale bukoba mjini!!. mwenye ufahamu naomba anipe specifications za camera na printer nzuri za kazi hii. nikishafungua nitaleta mrejesho!!
 
kanunulie card ya TCU ili uweze kujiunga na chuo kikuu. wewe ni mtoto, achana na mawazo ya biashara! nenda kasome usife mapema.

kusoma si mchezo!pia kwa kuwa tumekariri ili ufanikiwe lazima uwe na degree au diploma.Juhud zaid ndio siri ya mafanikio.JE WAJUA MATAJIRI WENGI HAWANA ELIMU KUBWA?NADHANI F4 LEVEL NA KUENDELEA NI NGUZO MUHMU KWA WAJASIRIAMALI,......
 
ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...

pia ukipata video camera inalipa sanaa.Nipo katika mpango wa kununua hiyo kitu!Ina faida hasa uswahilini....
 
Hiyo pesa yako iweke, inaweza kukusaidia endapo utakapochaguliwa kujiunga na chuo. pesa hakuna serikali imefilisika. otherwise jiandae na kuandamana
 
Peleka dagaa dsm
unamdanganya -- dagaa mwanza kilo ni sh 2500, sasa katika milion moja atakukwa na kilo 400 tu. ongeza nauli yake na mzigo atakuza bei gani? dar kwa sasa kilo ni Tsh. 3000.

Ni PM nikusaidie, ila kazi au wazo linatokana na jinsia yako - kama mjumbe alivyosema tujulishe.
 
Tafuta centre fungua bar au grocery , fridge au deep freezer anza na ya kukodi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom