Mtaji wa kufungua mini restaurant

Dad165

Member
Sep 9, 2023
64
186
Ni usiku wa saa nane ila Bado Sina usingizi. Nimekaa nikaandika business plan ya mean restaurant jijini Dar es salaam, hasa pale uwanja wa Taifa. Nime-analyse kila kitu.

Gharama ya kuanzia inahitaji kiasi Cha 20,800,000/=. Estimated profit ni 3,000,000/= Kwa wafanyakazi wanne. Mmoja mtendaji na watatu watoa huduma. Mishahara yao Kwa mwezi ni shilingi 1,050,000/=

Naombeni mawazo ya sehemu ya kukopa hizo fedha kwa kutumia wazo langu hili nikiambatanisha na barua pamoja na business plan au apatikane mtu ambae atawekeza mtaji kwa lengo la kuwa anapata faida ili kazi ianze.

Asanteni sana.
 
All the best, niko maeneo haya! Ukifungua nipe hata kibarua cha ulinzi, sitakosa 600k bila shaka.
 
Hiyo pesa imekombaini mishahara ya watu wanne Kwa mwezi. Milioni Moja na elfu hamsini
 
Back
Top Bottom