'Nimshaurije jamani'

Mwulize huyo mwanamke wa Benson aliyezaa naye wameachana kisa nn?
Kupata Ushauri mzuri kwa haraka haraka inaweza ikawa ngumu kidogo
 
Mhhhh, mbona unanitisha AshaDii?

Nawafahamu wengi tu including Babu DC ambao hawakuwahi si kuwa na mtoto bali hata kuelezwa kumpa mimba dada yeyote!!

Una maana ungepiga chini mzee wa watu?

Mengine uliyosema ni mswano duh!!

Babu DC!!

Mzee DC Umenikamata pabaya! lol.... Naona nikiri kua nimekosea... Ilitakiwa niseme kua siwezi ona ajabu kama atakua na mtoto katika ages za late 20s na early 30s and onwards....lol. Hata hivo DC vigezo vya kukukubali saa ingine haviwezi matter kabisaaa.... Love is strange. Saa ingine we are drawn to people ambao twajua fika s/he is not good for you, but you can not help it to Love him/her.... Hivo you never know ukute tu mambo yangetia tick! lol
 
sidhani kama kuna uhusiano wowote kati ya kuwa na mtoto na kumpenda mtu.Inawezekana Benson anampenda sana Anitha!Pia inategemea walivyoelezana love back ground kama ulivyosema.Kama Benson alimweleza Anitha kuwa alikua na mpenzi na wakaachana na alieleza sababu za wao kuachana na Anitha akaridhika pengine alikua anasubiri muda muafaka ili pia amueleze juu ya hili la mtoto.Sasa kama kuna kitu Anitha alikua na wasi wasi kuwa amedanganywa kwenye yale maelezo basi achukulie hii kama clue na aendelee kumchunguza Benson.But she should know that to every clue there is a new puzzle
 
Sawa, ila je huo uchunguzi aufanye kwa njia gani? aombe kuongea na wazazi wa Benson, au amwambie ampeleke nyumbani kwao? tumsaidie ili aweze kupata uchunguzi wakina tafadhali.

Mwambie Anitha asikurupuke aendelee kufanya uchunguzi na kumfahamu vizuri mwenzake, huwezijua labda ana Mke kabisa na familia yake inajua mwisho wa siku asijekuonekana ameingilia ndoa ya watu. Muongo ni muongo tu, mapenzi yasimfanye kujisahau kumchunguza vizuri ili kumjua kabisa ni muhimu sana.
 
Asante, Je atumia mbinu gani kumchunguza?

sidhani kama kuna uhusiano wowote kati ya kuwa na mtoto na kumpenda mtu.Inawezekana Benson anampenda sana Anitha!Pia inategemea walivyoelezana love back ground kama ulivyosema.Kama Benson alimweleza Anitha kuwa alikua na mpenzi na wakaachana na alieleza sababu za wao kuachana na Anitha akaridhika pengine alikua anasubiri muda muafaka ili pia amueleze juu ya hili la mtoto.Sasa kama kuna kitu Anitha alikua na wasi wasi kuwa amedanganywa kwenye yale maelezo basi achukulie hii kama clue na aendelee kumchunguza Benson.But she should know that to every clue there is a new puzzle
 
Benson alimwambia Anitha kuwa kipindi wako ndani ya mahusiano na huyo X wake, Benson alisafiri kwenda Nje ya nchi kikazi na kwa sababu walikuwa hawajoona alipokuwa anarudi alitaka kumfanyia mpenzi wake Suprise, then insteady of Suprise akamfumania mpenzi wake Live wakiwa kitandani, ndo ikawa chanzo cha kuachana, na anadai kuwa huyo binti alishaolewa.

Mwulize huyo mwanamke wa Benson aliyezaa naye wameachana kisa nn?
Kupata Ushauri mzuri kwa haraka haraka inaweza ikawa ngumu kidogo
 
Asante, Je atumia mbinu gani kumchunguza?

Nadhani njia sahihi ni kumuuliza maswali hasa maeneo ambayo anadhani kuna harufu ya uongo!Sijafahamu kiwango chake cha uelewa ila ni mtu mzima kwa hiyo anweza kujua kama anadanganywa au ila!Ila asikurupuke kutoa hitimisho na awe makini katika kuelewa majibu ya mwenzake!
 
Kwa jinsi ulivyo elelezea nadhani ni mapema mno kwa uyo dada kugundua ukwelii.Kwakua ndo kwanza wameanza aendelea kumtafiti wanapo tembeleana au wanapo wasiliana namini atabaini ukweli cse mapenzi ya kweli hayajifichi
 
kwa kweli suala la mapenzi linapaswa kutazamwa kwa umakini na pia huyo mkaka ameanza kwa kumdanganya je atakuja kuwa mkweli kwake? coz angukuwa na mapenzi ya kweli angemtel mapema
 
ni vigumu kupredict kuwa anampenda au hampendi. ila mie ninavyofahamu kidogo,huwa watu tunafikia hatua ya kutokuwa mkweli kwa kila kitu katika mahusiano hasa ktk siku za mwanzo za mahusiano,hasa kutokana na historia ya kutendwa huko nyuma,so mtu wa namna hii anaamua baadhi ya vitu kutokuwa muwazi/mkweli ili aweze kumfahamu mwenzake kama ndo walewale au anamaanisha
Mwingine kwa kumpenda sana mtu na kuogopa kuwa atampoteza kama aki reveal kila kitu,huamua kutokuwa muwazi kwa baadhi ya mambo. kama wanapendana kwa dhati,mwambie akae nae,waongee mambo yao "NO LIES AGAIN".wasonge mbele kama wakiridhiana.
 
kuna mambo ambayo ni ya kujadil mwanzo wa mahusiano na kuna mengne yanahitaji uelewa . cha msing mhusika hana sababu ya kumchunguza sana bf wake kwan asilimia kubwa ya maelezo wapeanayo wapendanao yamejaa uongo au hadith za kutunga. hakuna awezae kuelezea mapungufu au makosa yake kwa mwenzi mpya ni lazma atafute huruma. wanaume wengi huwa wanaficha kwa wenzi wao wapya suala la watoto walio nao na hii inatokana na kutokujiamin kwao. cha msing ni kuangalia umri wa mtoto na kuelewa x alipo na nini mahusiano yao. pia kujua kama anahudumia na jiweke kwnye nafas ya kuunga mkono ikiwezekana kuongozana wakat wa kupeleka huduma
 
Asante Hopecomfort kwa mchango wako.

Kwa jinsi ulivyo elelezea nadhani ni mapema mno kwa uyo dada kugundua ukwelii.Kwakua ndo kwanza wameanza aendelea kumtafiti wanapo tembeleana au wanapo wasiliana namini atabaini ukweli cse mapenzi ya kweli hayajifichi
 
Shukrani BPM

kuna mambo ambayo ni ya kujadil mwanzo wa mahusiano na kuna mengne yanahitaji uelewa . cha msing mhusika hana sababu ya kumchunguza sana bf wake kwan asilimia kubwa ya maelezo wapeanayo wapendanao yamejaa uongo au hadith za kutunga. hakuna awezae kuelezea mapungufu au makosa yake kwa mwenzi mpya ni lazma atafute huruma. wanaume wengi huwa wanaficha kwa wenzi wao wapya suala la watoto walio nao na hii inatokana na kutokujiamin kwao. cha msing ni kuangalia umri wa mtoto na kuelewa x alipo na nini mahusiano yao. pia kujua kama anahudumia na jiweke kwnye nafas ya kuunga mkono ikiwezekana kuongozana wakat wa kupeleka huduma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom