Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 476
- 1,244
Mwaka 2020 June alifunga ndoa ya kidini katika kanisa la kisabato na binti wa umri wa miaka 20 yeye akiwa na 26.Mwaka mmoja baadae huyo mwanamke akapata ujauzito.
Akiwa kwenye ujauzito wa miezi 5 alianza mgogoro, akidai mume wake hafai ni mshamba,hajui mapenzi, hajui kumhandle na visababu vingiiiii. Best man alipojaribu kuingilia na kutoa ushauri mwanamke alimpa mabango ya kutosha
Mgogoro ukazidi kuwa mkubwa akadai talaka ila mume wake akakataa talaka ila mamlaka ikalazimisha talaka ikatoka
Huyo mwanamke akaenda kukaa mkoa jirani kwa ndugu zake na akajifungulia huko
Juzi huyu huyu mwanamke anampigia best man wa mwanaume eti anaomba awaunganishe na aliyekuwa mme wake warudiane wajenge ndoa yao na kumtunza mtoto
Best man akawa anamuuliza"Siamini kama ni wewe unasema hayo maneno au ni mzimu "Mwanamke akajibu ni mimi shem nimejirekebisha kwa Sasa"
Akamuuliza tena na ile talaka je ? Akajibu" Lile ni karatasi "
Kijana alikuwa ameanza mahusiano mapya ndo miezi miwili, ila anasema anampenda aliyekuwa mke wake na hapa anawaza afanyeje,?
Mpeni ushauri