Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,649
Mi nipo mzee. Tatizo we mchoyo na bia zako.
Ukabaila wako umevuka mipaka. Ubazazi wako na Mentor umezidi mipaka.
Siku hizi nimetulia, nakaribia KUOA!
Cc: Mabazazi wote; KakaKiiza, Kaizer, Watu8, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Eiyer et al et al
Bcc: Michepuko yangu yoteeeeeeeeeeeeeeee (majina kapuni)
Aisee...hiyo harusi inabidi uoe kimya kimya...la sivyo!!!
Akhsante. Nimekukumbuka
Na ule uliouhamishia ng'ambo pia taarifa ziufikie!!Siku hizi nimetulia, nakaribia KUOA!
Cc: Mabazazi wote; KakaKiiza, Kaizer, Watu8, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Eiyer et al et al
Bcc: Michepuko yangu yoteeeeeeeeeeeeeeee (majina kapuni)
Siku hizi nimetulia, nakaribia KUOA!
Cc: Mabazazi wote; KakaKiiza, Kaizer, Watu8, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Eiyer et al et al
Bcc: Michepuko yangu yoteeeeeeeeeeeeeeee (majina kapuni)
Mentor nimekumiss mdogo wangu upo??? nikikuona nakumbuka VEROSA!Siku hizi nimetulia, nakaribia KUOA!
Cc: Mabazazi wote; KakaKiiza, Kaizer, Watu8, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Eiyer et al et al
Bcc: Michepuko yangu yoteeeeeeeeeeeeeeee (majina kapuni)
hi! msisahau kumwalika DENA AMSI,AFRO DENZ, MICHELLEHongera LOL
Nashukuruni Mbu, nimekumiss pia, jamani FP wangu nae kapoteaaa, Firstlady1, MW1, uwiii nimewamiss sanaa, majukumu kibaooo ulezi jamani.
Hahahaha mbona niliachana nao kwa amani kabisa mkuu!!!!! sina beef na yeyote...ask them! ;-)
Na ule uliouhamishia ng'ambo pia taarifa ziufikie!!
Mentor nimekumiss mdogo wangu upo??? nikikuona nakumbuka VEROSA!
hi! msisahau kumwalika DENA AMSI,AFRO DENZ, MICHELLE
....hapo kwenye RED hapo, wewe jipe moyo tu!......hahahahhha,.....
hivi zile story zako zimeisha siku hizi?