Nimewakumbuka, MMU Legends

Nashukuruni Mbu, nimekumiss pia, jamani FP wangu nae kapoteaaa, Firstlady1, MW1, uwiii nimewamiss sanaa, majukumu kibaooo ulezi jamani.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nashukuruni Mbu, nimekumiss pia, jamani FP wangu nae kapoteaaa, Firstlady1, MW1, uwiii nimewamiss sanaa, majukumu kibaooo ulezi jamani.

......yaani, haulaumiki dear. Kila mmoja na mbio anazozijua mwenyewe.

Hahahaha mbona niliachana nao kwa amani kabisa mkuu!!!!! sina beef na yeyote...ask them! ;-)

....hapo kwenye RED hapo, wewe jipe moyo tu!......hahahahhha,.....
hivi zile story zako zimeisha siku hizi?
 
Na ule uliouhamishia ng'ambo pia taarifa ziufikie!!

Jamani hadi wadada wanahesabiwa kwani!?? Siku hizi Mtambuzi kaniletea jaribu lingine...kisu balaa! Ila nitalishinda kwa imani...hamtaki nioe jamani!!!!

Mentor nimekumiss mdogo wangu upo??? nikikuona nakumbuka VEROSA!

cacico , nimemisije kisautiiiii...doooh naomba nikutafute popote ulipo dada angu! Wewe na gfsonwin ndo mmenisusa kabisa yani!

hi! msisahau kumwalika DENA AMSI,AFRO DENZ, MICHELLE

Hamtakosekana...

....hapo kwenye RED hapo, wewe jipe moyo tu!......hahahahhha,.....
hivi zile story zako zimeisha siku hizi?

Mkuu Mbu, kwa amani kabisaaaaaaaaaaaaaa! waulize. wengine wanachangia humu na PM tunawasiliana tu! #peace
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
wapi kichuguu, madela wa madilu, mwalimu agustino, mwawado, philemon michael, shy. Daa Jf kweli kisima cha elimu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom