Nimewakumbuka, MMU Legends

Karibu mkuuu
we umepotea sana
Thanks kwa kutukumbuka

.....dahhh, si mchezo...pirika nyingi kuliko muda, sijui ndio udingi huu?

Pamoja sana lakini, hapa ndio stress-free zone, siku moja moja huchungulia kinachoendelea.
 
Karibu sana mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu tulikukosa sana hapa

jaman vipi lkn ulifanikiwa kwenye ile ishu yako ya kisima?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
zamani mlikuwa mnaishi kwa upendo sana humu JF,hakukuwa na matusi wala team za sikuhizi tulizonazo,watu mlitumia tafsida na mkaelewana,hakukuwa na ubaguzi wa kuchagua thread za kuchangia au kubagua mtu kama sasa hivi.
Hongereni legends.

Kabisaaaa!
 
hongereni MMU Legends kwa hakika mchango wenu ulikuwa muhimu,kulikuwa na raha ya kuingia humu ila sasa pamekuwa pa ajabu...mada za ajabu ajabu,lugha mbovu
 
zamani mlikuwa mnaishi kwa upendo sana humu JF,hakukuwa na matusi wala team za sikuhizi tulizonazo,watu mlitumia tafsida na mkaelewana,hakukuwa na ubaguzi wa kuchagua thread za kuchangia au kubagua mtu kama sasa hivi.
Hongereni legends.

Ni wachache walio wa zamani kuliko mimi Legend wa JF!

Hiyo zamani unayoizungumzia wala hakukuwa na upendo kihivyo.

Matusi yalikuwepo sana tu na kufungiwa kulikuwepo. Kuna wanachama wengi tu wa zamani ambao walipewa vifungo vya maisha.

Hizo timu unazozizungumzia zilikuwepo. Kilichobadilika sasa ni matumizi ya msamiati 'team/ timu' tu. Lakini makundi ya kuungana mkono yalikuwepo sana.

Kuelewana kulikuwepo na pia kupishana lugha kulikuwepo. Tofauti ya sasa na zamani ni idadi ya wanachama.

La ubaguzi sina uhakika nalo sana. Kwani sasa hivi kuna ubaguzi humu?
 
Mimi nikisoma nyuzi za zamani naona kama sasa hivi ndio kuna hizo hali za kushambuliana,anyway wewe ni miongoni mwa wakongwe JF siwezi kukupinga kuhusu hali ya mwanzo na ya sasa hivi.
Ubaguzi upo majukwaa mengine.
 
Ni wachache walio wa zamani kuliko mimi Legend wa JF!

Hiyo zamani unayoizungumzia wala hakukuwa na upendo kihivyo.

Matusi yalikuwepo sana tu na kufungiwa kulikuwepo. Kuna wanachama wengi tu wa zamani ambao walipewa vifungo vya maisha.

Hizo timu unazozizungumzia zilikuwepo. Kilichobadilika sasa ni matumizi ya msamiati 'team/ timu' tu. Lakini makundi ya kuungana mkono yalikuwepo sana.

Kuelewana kulikuwepo na pia kupishana lugha kulikuwepo. Tofauti ya sasa na zamani ni idadi ya wanachama.

La ubaguzi sina uhakika nalo sana. Kwani sasa hivi kuna ubaguzi humu?

.....sana mkuu, enzi hizo za kina Yo Yo ;)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom