Nimewakumbuka, MMU Legends

Nami pia nimefurahi sn kuwaona baadhi ya marafiki wa siku nyingi humu ndani...namshukuru mleta mada Mbu kwa bandiko hili. Nadhani tufanye msako kama wote bado tupo hai. Sijajua ile hali ya anonimity inaendeleaje siku hizi huku JF. Lakini Kufikia leo hii kwa kiasi kikubwa mambo si kama zamani nadhani ni kutokana na teknolojia mpya zaidi kama za wazzap nk.
Yote katika yote, JF itabaki kuwa jukwaa la watu makini daima dumu.!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Jamiiforum Forum ya enzi zile si ya leo! Tahadhari unaweza kukutana na watoto kama si wajukuu mnachangia au mnatoa hoja MMU. so ni kuchungulia kufurahisha macho kama si ubongo na unakuwa umeongeza siku za kuishi kama sio miaka. JF ni free stress zone ndio maana 'tulibaha'
.......ndio maana'ke Pakawa the legend! ...miaka tisa hewani si mchezo, watoto wamezaliwa, wamepelekwa shule ya vidudu....

.....sasa wapo umri wa darasa la tatu, weshajua kusoma na kuandika. Juma na Roza weshawaacha, wanaelekea kwenye sayansi kimu na jiografia,.......

Kubalini matokeo ;)

Cc; Dark City, KING"asti, Steve Dii na mydada AshaDii

Well said.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu legends. . . . . . . uswahilini tunasema awali ni awali hakuna awali mbovu. . .historia imeshaandikwa na heshima yenu itakaa mahala pake daima dumu!!!!

Big up yardsticks. . . . . .!!!!
 
Nami pia nimefurahi sn kuwaona baadhi ya marafiki wa siku nyingi humu ndani...namshukuru mleta mada Mbu kwa bandiko hili. Nadhani tufanye msako kama wote bado tupo hai. Sijajua ile hali ya anonimity inaendeleaje siku hizi huku JF. Lakini Kufikia leo hii kwa kiasi kikubwa mambo si kama zamani nadhani ni kutokana na teknolojia mpya zaidi kama za wazzap nk.
Yote katika yote, JF itabaki kuwa jukwaa la watu makini daima dumu.!

......pamoja sana mkuu wa Kambi ya Arusha, hahaha.....!
maisha yenyewe haya mnh? unaweza kuta kumbe kuna wenzetu wengi tumewaacha
miaka ya 2014 kurudi nyuma.....

Roll Call muhimu jamani. Kuna wakati humu nashtukia "fulani" ame LIKE naishia kujisemea
kumbe mwafulani bado yumo nae humu!

Ha ha ha .....kumbe watu mpo!:becky::becky:

.....duhh!? kiongozi kumbe nawe bado unadunda! Mungu ashukuriwe!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hongera zao. hope washaanza kuota mvi sasa.

....dahhh, ziote mara ngapi? miaka hiyo (2006) aliyekuwa anaonekana kijana JF nzima alikuwa dogo mmoja kwa jina la "Shy!" pekee,....

Siku hizi ukifungua post mpya tu, au comment mpya unatambua "mwingine nae huyu,....!"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom