Subiri na wewe siku utakufa au kufiwa watu wakazalishe mali badala ya kukuombolezea au kuomboleza na wewe.Kanumba alikuwa mtu wa watu akiburudisha nyoyo zao hata katika shida na taabu za Watanzania. kutizama Movie zake unapunguza mawazo. Leo ndio siku yake ya mwisho duniani na haikuwa vibaya watanzania kuacha shughuli zao na kuja kumuaga. Ni kawaida yetu kuonyesha upendo kwa kwa kitu tunachokipenda. watu wengine mnajifanya mko serious sana na maisha wakati kuna siku haya maisha utayaacha.
nchi nzima? Mbona mi sijaenda?Kwa hiyo wewe uliyewahi kufiwa nchi nzima iliacha kazi ikaja kwako?
Subiri na wewe siku utakufa au kufiwa watu wakazalishe mali badala ya kukuombolezea au kuomboleza na wewe.Kanumba alikuwa mtu wa watu akiburudisha nyoyo zao hata katika shida na taabu za Watanzania. kutizama Movie zake unapunguza mawazo. Leo ndio siku yake ya mwisho duniani na haikuwa vibaya watanzania kuacha shughuli zao na kuja kumuaga. Ni kawaida yetu kuonyesha upendo kwa kwa kitu tunachokipenda. watu wengine mnajifanya mko serious sana na maisha wakati kuna siku haya maisha utayaacha.
Asante Mbu,
Kweli kuna watu wanazaliwa na nyota, for whatever reasons kisiasa au kisanii
Amepata almost 'state burial'
ni wangapi wanapata hii ukiachia viongozi wa kitaifa?
He was one of his kind!
Tatizo ni watu kwenda kwenye msiba wa Kanumba au wingi wa watu??
Vipi msiba wa Regia na wale wajinga walioenda kuuza sura pale badala ya kwenda kufanya kazi wakati nchi ni masikini mnawazungumziaje?
Tuache wivu ata kwa mtu aliyekufa.
Unaweza kunifafanulia hapa how!!??......mimi ni shabiki wa Wacko Jacko na nilifanikiwa kuhudhuria live show yake moja ila hapa kwenye kuzikwa kutoka pande zote duniani nimeshindwa kukusoma!!MICHAEL JACKSON alizikwa na watu wa pande zt duniani
To agree to disagree is it Prohibited?....mnamuonea marehemu wivu?
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
AAAAhh father! mbona kila kukicha watu wanaandamana kwa kuunga mkono hili na lile kwani wanazalisha nini? siku hizi kuna mtu anafanyakazi? acha wamuage jamaa, afterall ni leo tu! umeishawahi kumsikia kiongozi yeyote akihimiza kufanya kazi kwa siku za karibuni?
jaman mi watu mnaousema huu mchango wa kanumba naomba muweke specific hyo michango wengine akili zetu fupi hatuna uwezo wa kufikili.
Jizoeze kusoma thread na kuelewa!
To agree to disagree is it Prohibited?....
Unapouliza kumuonea wivu Marehemu yaani unamaanisha tulipenda tufe sisi? kwahiyo hatujalizika tunataka afufuke ili na sisi tuzikwe na kundi la wazururaji?
Mkuu nakubaliana na wewe, lakini binafsi tatizo ninaliliona ni kuwa almost the majority ya waombolezaji ni watu wa sekta isiyorasmi, ambayo pia hailipi kodi, hivyo waende kwenye msiba wasiende taifa halina hasara, maana taifa hili linapata kodi kwa wafanyakazi wa serikali na baadhi ya wafanyakazi walio sekta rasmi.Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Pirncess Diana alizikwa na taifa lote la Uingereza. Hakuna aliyemhukumu kwa matendo yake. Kila mtu ana udhaifu wake na hatupaswi kuhukumu wenzetu.