Nimesikitishwa na Watanzania!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa
 
Mh hii ndiyo mila yetu mkuu kusherehekea pamoja na kusikitika pamoja
Kanumba wa agreat man Masa!
 
Kila kitu kilesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Ukisema "Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii" unataka kutuambia nini? kwamba Lowassa ni makini sana kuliko wana ccm wenzake au serikali ya ccm? sidhani. Bila shaka hayupo nchini maana naamini kabisa angekuwa wa kwanza kufika katika msiba huo kwa malengo ya kisiasa.
 
Kila kitu kilesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo
 
Inabidi uelewe kwamba kwa wasanii wa television na sinema, kuwaangalia kila siku unajenga uhusiano nao japo hawakufahamu, na uhusiano huu unakuwa mkubwa sana kama vile ni rafiki zako wa karibu. Ndio kinachowapa hawa wasanii "celebrity status". Hivyo wanapokufa watu wengi huhisi kupoteza mtu wa karibu sana. Mifano halisi ni watu walivyohisi juu ya kifo cha Michael Jackson, Bob Marley, Whitney Huston, Bruce Lee nk. Hivyo usishangae kuona shughuli zimesimama kwa ajili ya mazishi ya Kunumba.
 
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo

Utakuwa umelogwa wewe AMA unapepo! I'm talking from economic point of view! Ujinga Huu watz hao walio leaders hajafanya kazi yeyote ya kuzalisha
 
Kila kitu kilesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Mkuu Masanilo
naunga Mkono thread, nadhami hoja yako ingezingatia haya pia
1) IJUMAA-Watu hawakwendakazini (Ijumaa Kuu)
2) JUMAMOSI- Watu hawakwenda kazini (Karume Day)
3) JUMAPILI- Offday+Easter
4) JUMATATU- Watu hawakwenda kazini (Jumatatu ya Pasaka)
5) JUMANNE- Watu wanashindwa kwenda kazini (Kumzika Kanumba)

Kaazi kwelikweli

R.I.P KANUMBA
 
Asante Masanilo kwa kujitofautisha nao, niko pamoja na wewe.
Mimi naomba niulize maswali mawili tu,
1. Kwamba Amekuza Tasnia ya Filamu Tanzania, kivipi?
2. Kwamba ameitangaza Tanzania? Kivipi? Kazi gani ya Kanumba inaitangaza Tanzania Yetu? Kazi za kanumba zilikuwa zinaportray utamaduni gani wa kitanzania? au ni mafundisho gani ya msingi yanapatikana kwenye kazi zake?
3. Nani anapinga kwamba, huyu alikuwa ni mmoja wa watanzania ambao hakuwa akilipa kodi wakati alikuwa anajiingizia mapesa mengi kwa shughuli zake? Kwa hili, Rais wa nchi alistahili kuahirisha safari zake za kikazi sababu ya msiba wake?

Ombwe la hekima limetapakaa nchi nzima.
 
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo

Acha maneno mingi wewe? Mchango gani?
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Wivu wa kike huu
 
hii ni kali kwani hata vipindi vya Radio mbalimbali vimekuwa adjusted kwa hii kitu. Sijui akifa na msanii mwingine ghafla itakuwaje?
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Sasa na wewe badala ya kufanya kazi unaangalia TV?? kweli Tanzania kazi kwelikweli!!
 
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo

wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda
 
R.I.P Kanumba,
Rev uko Sahihi, Naona Bongo Movie wameuteka msiba wa Kanumba ili kuonyesha/Kukuza Empire yao, Hata wale ambao walikuwa wanampiga Vita wakati akiwa Mzima sasa hivi wao ndio Kimbelembele na kutaka kuonekana kuwa wao ndio hasa, Wazazi nao wamekosa kauli juu ya mtoto wao, Hii ndio TANZANIA.
 
Back
Top Bottom