Nimesikitishwa na Watanzania!

Pirncess Diana alizikwa na taifa lote la Uingereza. Hakuna aliyemhukumu kwa matendo yake. Kila mtu ana udhaifu wake na hatupaswi kuhukumu wenzetu.
 
Subiri na wewe siku utakufa au kufiwa watu wakazalishe mali badala ya kukuombolezea au kuomboleza na wewe.Kanumba alikuwa mtu wa watu akiburudisha nyoyo zao hata katika shida na taabu za Watanzania. kutizama Movie zake unapunguza mawazo. Leo ndio siku yake ya mwisho duniani na haikuwa vibaya watanzania kuacha shughuli zao na kuja kumuaga. Ni kawaida yetu kuonyesha upendo kwa kwa kitu tunachokipenda. watu wengine mnajifanya mko serious sana na maisha wakati kuna siku haya maisha utayaacha.

Mawazo ya Mfu haya

RIP SK
 
You can't be serious! Please tell us you were joking!
 
Tatizo ni watu kwenda kwenye msiba wa Kanumba au wingi wa watu??
Vipi msiba wa Regia na wale wajinga walioenda kuuza sura pale badala ya kwenda kufanya kazi wakati nchi ni masikini mnawazungumziaje?

Tuache wivu ata kwa mtu aliyekufa.
 
Asante Mbu,

Kweli kuna watu wanazaliwa na nyota, for whatever reasons kisiasa au kisanii
Amepata almost 'state burial'
ni wangapi wanapata hii ukiachia viongozi wa kitaifa?

He was one of his kind!

Duuh!! Hivi kwa mfano Mungu (Yehova) angewafumbua macho wote mliokuwepo Leaders awaoneshe huko aliko, SIPATI PICHA!!
 
Tatizo ni watu kwenda kwenye msiba wa Kanumba au wingi wa watu??
Vipi msiba wa Regia na wale wajinga walioenda kuuza sura pale badala ya kwenda kufanya kazi wakati nchi ni masikini mnawazungumziaje?

Tuache wivu ata kwa mtu aliyekufa.

Jizoeze kusoma thread na kuelewa!
 
MICHAEL JACKSON alizikwa na watu wa pande zt duniani
Unaweza kunifafanulia hapa how!!??......mimi ni shabiki wa Wacko Jacko na nilifanikiwa kuhudhuria live show yake moja ila hapa kwenye kuzikwa kutoka pande zote duniani nimeshindwa kukusoma!!
 
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo

jaman mi watu mnaousema huu mchango wa kanumba naomba muweke specific hyo michango wengine akili zetu fupi hatuna uwezo wa kufikili.
 
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda

HATA KAMA ALIKUWA HAZALISHI WALA HAKATWI KODI, HUYO ALIKUWA NI CELEBRITY . MAZISHI YA CELEBRITY SIKU ZOTE HUZOA WATU WENGI SANA.UNASHANGAA NINI MAZISHI YA KANUMBA mwaka 1997,wafanyakazi wa benki kuu tanzania walifunga ofisi kwa masaa mamnane kwenda ilala bungoni kwenye mazishi ya mfanyakazi mwenzao aliyekufa na aliyepewa redundance miaka miwili iliyopita. hakuwa mfanyakazi wakati huo ila ile heshima yake iliwavutia kwenda ktk mazishi yake.

Mazishi ya method Mogella nayo yaliteka mji na kila mpenzi wa soka na mchezaji soka aliyahudhulia, watu walijaa utadhania alikuwa nazikwa chifu. mazishi ya kijana beach boy hapo Ilala flat nayo yaliteka mji watu walijaa mara mbili ya kujaa ktk mechi ya Yanga na simba kumsindikiza kijana beach boy ambaye naye alipendwa sana akiwa hai.

kwa kifupi kuna watu huzaliwa na loving star na ktk mazishi yao kila mtu anataka kumsindikiza kwa mapendo.

jiulize kwa nini katika mazishi ya mama theresa pale India, biongozi karibia wa dunia nzima walienda na wake zao? Viongozi wa dini zote maraisi wakristo, waislamu, wabudhist na kila dini walienda sababu moja tuu ya Love star aliyonayokuwa nayo mama theresa. get me my buddy? Now you stand up and go and get a cup of coffee!!!!!!!!!!!
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

AAAAhh father! mbona kila kukicha watu wanaandamana kwa kuunga mkono hili na lile kwani wanazalisha nini? siku hizi kuna mtu anafanyakazi? acha wamuage jamaa, afterall ni leo tu! umeishawahi kumsikia kiongozi yeyote akihimiza kufanya kazi kwa siku za karibuni?
 
Noted Hii CCM haisisitizi watu kufanya kazi! Maisha bora kwa Kila mtanzania
 
jaman mi watu mnaousema huu mchango wa kanumba naomba muweke specific hyo michango wengine akili zetu fupi hatuna uwezo wa kufikili.

kama hauna uwezo wa kufikiri potea umu,unataka tukusaidiaje,nenda mirembe uko..
 
To agree to disagree is it Prohibited?....
Unapouliza kumuonea wivu Marehemu yaani unamaanisha tulipenda tufe sisi? kwahiyo hatujalizika tunataka afufuke ili na sisi tuzikwe na kundi la wazururaji?

anamaanisha ungetamani uzikwe kwa heshima kama Steve,lakini kinachokuumiza haitakaa itokee.
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa
Mkuu nakubaliana na wewe, lakini binafsi tatizo ninaliliona ni kuwa almost the majority ya waombolezaji ni watu wa sekta isiyorasmi, ambayo pia hailipi kodi, hivyo waende kwenye msiba wasiende taifa halina hasara, maana taifa hili linapata kodi kwa wafanyakazi wa serikali na baadhi ya wafanyakazi walio sekta rasmi.
 
Pirncess Diana alizikwa na taifa lote la Uingereza. Hakuna aliyemhukumu kwa matendo yake. Kila mtu ana udhaifu wake na hatupaswi kuhukumu wenzetu.

Miafrika ndivo tulivyo, source: NN

Kwamba unamlinganisha princess Diana UK ni sawa na Kanumba TZ?

C.R.A.P At its best! Manina!
 
Back
Top Bottom