Nimesikitishwa na Watanzania!

Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Lakini na wewe uko pamoja nao mkuu. Japo hujaenda ila upo umekaa unaangalia TV. Hufanyi kazi!!! Hata hivyo mkuu ukiwaangalia wengi wao ni kina mama na vijana wasiokuwa na ajira. Wamepata pa kupotezea siku. Wengine ni vibaka wako kazini. Wengine ni wanasiasa wanataka umaarufu. Wengine ni wasanii wanafanya usanii!!!
 
Mna chuki za kijinga sana. Well, hicho ndo kinachotokea anapokufa star aliyekua akipendwa na watu. Mzinifu ama si mzinifu, wewe si mwenyezi Mungu wa kuhukumu. Kaa peke yako ujiulize tena kama wewe hujawahi kutenda dhambi ndipo uhukumu wengine.

Watu waliganda kwenye tv kuangalia mazishi ya Michael Jackson lakini kwa kuwa hatupendi vya kwetu tunaponda kila kitu.

Ungekuwa na akili nzuri unge'argue kuhusu watu kutokuwa na ajira kwa kuwa si rahisi aliyeajiriwa kuacha ofisi..

Watson was right! Waafrika wengi hawana akili! Ndivyo walivyo ! Naambiwa wengi wao hata TV hawana ila walikuwa barabarani
 
Namuonea huruma mtu yeyote anayetaka kuwa Rais wa nchi hii kwa dhati ya moyo wake ili kumrithi Kikwete maana anakabiliwa kuongoza Taifa lililojaa wajinga kuliko watu wenye akili timamu.
Nakubaliana nawe Matola kwa kiasi fulani. Sioni lolote la maana alilofanya Marehemu Kanumba hadi anafariki ki-freemason wiki iliyopita.
-Alivitumia vibinti vidogo kwenye maigizo yake haya kisha anavirudi kiukweli.
-Alizidi kuwagawa zaidi wazazi wake kwa kauli na matendo yake.
-Alishindwa kabisa ku-manage umaarufu wake hasa kwa wanawake.
-Hakujali tena kujiendeleza kielimu baada ya kufaulu vizuri kidato cha sita.
-"Utajiri" wake na kutangatanga kwa mama yake, kulalama kwa baba yake mtu unabaki unajiuliza.
Kanumba amepita. Tunasubiri wasanii wengine mjitokeze ambao mtaonekana ni kioo cha jamii. Namshukuru Mungu amezikwa kisanii vilevile alivyoishi.
 
kuna avatar nyingine kwa kweli ni very disgusting.

kwa mfano, with all my due respect to the person behind the "mchajikobe" ID, kwa kweli avatar yake ni very disgusting kwa sababu kilichoonyeshwa hapo ni uchafu!!

kunaweza kuwa na argument kwamba mbona kuna avatar nyingine ziko suggestive sexually. sex clips or shots zinaweza zisiwe disgusting kwa watu wote lakini sidhani kama kuna mtu ye yote under the sun atakayependezewa kutazama makohozi, kamasi, kinyesi, nk (kiwe chake au cha mtu mwengine!)

nakuomba mkuu "mchajikobe" please badili avatar yako into something else - anything far from human discharges please. i beg!
 
Mwananchi imeripoti jamaa morogoro wamekodi Abood bus kuhudhuria maziko. Wanalalamika hawajaweza kutoa heshima za mwisho kwa marehemu watu walikuwa wengi mno. Serves them right! Blocks,stones worse than senseless things. In your moments of silence you can pay respect to the departed soul ukiwepo hapo hapo Morogoro.
 
Binadamu tunatofautiana vionjo (sijui kama ni neno sahihi)!
Kuna watu wanapenda mieleka na wako radhi kuacha kila kitu, ili mradi tu waangalie, wengine mashindano ya mpira, wengine maigizo, n.k! ili mradi tu kila mtu ana kilevi chake. Inawezekana kundi kubwa ni la wenye ulevi wa filamu, na kwa tanzania ukisema filamu hakuna namna ambavyo ungeweza kumweka pembeni Kanumba. Mimi sioni shida kubwa, kama mtu unafanya kazi kwelikweli, kutoa just siku moja kwa ajili ya kuitendea haki nafsi yako!

Nadhani, tuwape watu uhuru wao, tusiwalazimishe kufanya yale tunayoyataka sisi kama ambavyo tusingependa wao watulazimishe kuwa waumini wa (sijui ulevi/mapenzi/matamanio yao).
 
Hii ni kutokana na mchango wake aliokuwa nao kwa jamii yetu kama msanii. Ukijua wajibu wa msanii kwa jamii sidhani kama utashangaa watu kwenda kuusindikiza mwili wa kanumba kuzikwa ukizingatia hatutauona tena mwili wake duniani
 
Kama unadhani kuzikwa na watu wengi ni ushujaa au ni ishara ya kuwa na mchango mzuri kwenye jamii, basi jiulize swali hili. Kati ya Kanumba na Karl Marx nani zaidi? Nina wasiwasi sana na uwezo wa kifra/ufahamu wa wanahabari wetu hususan clouds media! R.I.P Jen Kyaro, natamani na wewe ungepata media coverage yakutosha kwa kuwa ninaamini wewe ni shujaa.
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Hizo si dalili za ujinga bali ni ujinga wenyewe wa hili taifa
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa
Kanumba amekufa ktk harakati za kufanya ufusika na mtoto chini ya miaka 18 wakati wa kusherekea Pasaka.Mshahara wa dhambi ni mauti. Gvt ijihoji ngono umri mdogo!.Jk ana enzi ngono
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Mchungaji hii ndo bongo kila mtu alikuwa na mambo yake.
Kuna jamaa angu kamdanganya mke wake eti yupo kwenye kamati ya mazishi ya Kanumba hivyo analala msibani kumbe yupo kwa kimada nilisikitika sana
 
Kitendo cha Jk kushabikia msiba wa Kanumba kinaashiria kuwa anakumbatia matendo ya zinaa yanayofanywa na wasani hao na kupotosha umma .Ukimwi ulianza kusambazwa na wasani Usa na mtu wa kwanza kufa ni mchezaji wa filamu kama Kanumba.Uchafu wa ngono unaofanywa na wasani unatisha!
 
Huu ni wivu au ni nini? Hii naifananisha na ile 'peoples power' huwezi kuzuia watu kumzika huyu star.na ukumbuke kuwa hakuna wito uliotolewa kwamba 'wananchi mfike kwa wingi' kama tunavyosikiaga kwenye matukio mengine.Kwa taarifa tu kama mnaona watanzania wamekosea kupoteza muda wao kwenda kumzika huyu star, hizo nchi unazozishabikia zimeendelea kwao akifa star sio tu wanapoteza muda kwenda kumzika pia wanalipa na fedha nyingi ili kuruhusiwa kuhudhuria msiba. Ukumbuke pia jana bunge lilianza vikao vyake dodoma inawezekana wengi hawajui hilo! bunge limemezwa na kanumba! Huyu mtu ki ukweli alikuwa shujaa.
Huyu ni star wa ngono na fusika mkubwa na kuendelea kumukumbatia kwa gvt kutaleta maafa kwa Taifa
 
Mchungaji hii ndo bongo kila mtu alikuwa na mambo yake.
Kuna jamaa angu kamdanganya mke wake eti yupo kwenye kamati ya mazishi ya Kanumba hivyo analala msibani kumbe yupo kwa kimada nilisikitika sana

Unapatikana wapi mpwa! Unahitaji kuombewa nami ulionekana na Msanii wa bongo filamu mkiomboleza bar
 
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii

RIP Kanumba

Rt Rev Masa

Mkuu isije ikawa binafsi ulisimimamisha shughuli zako kufuatilia maziko ya michael jackson, lakini kwa kudharau vya kwenu unawaona wajinga waliojitokeza kwenye mazishi ya kanumba, cerebrities attracts such crowds world over, kanumba was our cerebrity, usijifanye unajua sana kuthamini kazi
 
Mkuu Kigogo.

Tangu ujiunge na JF 14 Dec 2007 huu ndiyo mchango wako wa maana kuliko yote pamoja sana mkuu wangu.

wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda
 
90% ya waliopo hapo hawana kazi rasmi wanaishi mjini kiusanii tu kwa hiyo kwa siku ya leo hiyo ndio kazi yao. Kweli Laigwanan alivyosema kuwa tatizo la ajira ni bomu linalongoja kuripuka nimeamini leo. Hivi unaaga vipi ofisini kwako kwenda kwenye msiba wa Kanumba? Unachukua likizo ya siku moja au? Laigwanan for CCM chairman, but, not for president
Kikwete na yeye ni msanii!
 
msiba1.jpg

Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu.
Jk anaendesha nchi kisanii
 
Back
Top Bottom