Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,062
- 731
Edward Lowassa hahangaiki kwa sababu yeye ni msani wa cheti.
Usomi na Ujanja wote wa Edward Lowassa ni Digirii ya Tamthilia ya UDSM ambayo ameitumia kikamilifu katika usanii wa Kampuni ya Kitapeli ya kufua uememe ya Richmond. Alisha cheza sana michezo ya kuigiza ikamshinda kwa hiyo kitendo cha dogo Marehemu Kanumba kuibuka na kuwa Celebrity katika fani ambayo yeye ana digirii kabisa ni jambo linalo muuma maini sana.
Ni haki yao watu wa kawaida kuomboleza msiba wa mtu waliyempenda katika uhai wake.
Lakini ni aibu ya kitaifa kwa viongozi wote kuacha shughuli zao na kwenda msibani wakati Madaktari walipogoma na kusababisha vifo vya waTanzania wengi wao walikuwa wakiendelea na Uzandiki wao kana kwamba hakuna kinachoendelea.
Viongozi wameonyesha Uhabithi na Umamruki mkubwa aidha uzandiki kwa kujazana katika msiba mmoja huku wakitoa machozi ya mamba. Tuna viongozi fuata upepo ambao heshima yao iategemea uelekeo wa upepo.
Kibaya zaidi wamekuwa misukule wanafuata hata upepo wa FENI tabia hii mbaya ya kufuata upepo wa FENi anayo MH Jakaya Mrisho Kikwete.

Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa