Nimerikoroga

Yaani ndo ulichokiona...??
tupo hapa kwa ajili ya kushambulia watu?? hebu tutake radhi...
of coz ndo nilichokiona, kumshambulia dada wa watu eti ana ID nyingi wewe unawajua watu humu ndani?

na nini kinakufanya uamini kuwa ametunga story, unamjua Fanta weye, mtu kama hujapenda thread yake si unakula kona tu kwa nini kuharibiana siku
 
msijali....nyie endeleeni mimi nitalipa kila kitu......si mnaona hata tarehe inaruhusu

Ila usijie ukatuacha kwenye mataa ..tunaomba tu upokee simu,usitufanye tuwe marafiki wa kawaida mpaka tukakutafute kwenye FACEBOOK..lol
 
Hongera kwa kujitahidi kuvumilia....(hebu naomba ufafanue hizi posts)

Pia naomba kupata ufafanuzi wa hii post yako ya January, kabla sijachangia[/COLOR

Sasa hivi naogopa hata kuchangia..utunzi umekuwa mwingi sana!!

Sasa sijui nichukue lipi niache lipi??

nimekubali wewe gwiji
 
post zako zimenichanganya kidogo,ila kwa huyu mpya jinsi ulivyofuatilia nadhani jibu tayari unalo.ni hana mapenzi na wewe na inaonyesha anatongoza kwingi tu.pengine kila mpenzi,anam save kwenye simu tofauti.wanaume wa sasa,kumpata mwenye mapenzi hasa ni ngumu.maana kila mmoja ni ku cheat kwa kwenda mbele
 
of coz ndo nilichokiona, kumshambulia dada wa watu eti ana ID nyingi wewe unawajua watu humu ndani?

na nini kinakufanya uamini kuwa ametunga story, unamjua Fanta weye, mtu kama hujapenda thread yake si unakula kona tu kwa nini kuharibiana siku

ndo lengo lako watu wachangie uongo???
ungepeleka kule kwenye udaku au tetesi
 
@DA & mpendwa.....aa hata mi imeanza kuniboa..kumbe watu wana maid mwawili mawili ..kha!!duh ile ya fanta face kiboko lakini hehehehhehhe
 
Ila usijie ukatuacha kwenye mataa ..tunaomba tu upokee simu,usitufanye tuwe marafiki wa kawaida mpaka tukakutafute kwenye FACEBOOK..lol

mimi naenda na karne ya kisasa, mambo ya kutokupokea simu ni ya kizamani sana.....kwanza nyie ndio mtakaonikuta nawasubiri.....hofu muondoe kabsaaaa
 
Pole kwa kuchanganyikiwa, ni mtu yule yule aliyetaka tuwe gud friends ndo akataka kuja kunitembelea nyumbani, huyu ninaemsema hapa ni mpyaa tumeanza urafiki mwishoni mwa february

heee,mapenzi yameanza mwisho wa february,hata miezi 2 bado,hataki kupokea simu zako.achana nae upesi,mimi nilijua yana muda kidogo.ningekuuliza maswali ya ndani ila naona vibaya.kwa upande mwengine,kutenda kosa si kosa,kosa ni kurudia kosa.
 
Back
Top Bottom