Nimerikoroga

Hujalikoroga bibie huo ndo ujanja wa kutambua ukweli. Hapa sioni kama unaomba ushauri gani maana ushamjua jamaa sio kabisa.

Piga mbio kama za marathoni

tena dont angalia nyuma, utageuka jiwe la chumvi, jamaaa mharibifu achasna naye, ni bore ulivyogundua, hamna mjadala hapo
 
Pole kwa kuchanganyikiwa, ni mtu yule yule aliyetaka tuwe gud friends ndo akataka kuja kunitembelea nyumbani, huyu ninaemsema hapa ni mpyaa tumeanza urafiki mwishoni mwa february

Ok. lakini ni vizuri ungesema story fupi ya mahangaiko yako hadi hapa ulipofikia. ila unapoomba ushauri wakati sisi wengine tunakumbuka kuwa bado una mpenzi unatuchanganya/

Jana kuna mtu katuchanganya pia anajiita Mamuu55 na pia yeye ni Fanta Face

Nenda hapa kwa ushahidi https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/122504-nisaidie-maoni-ushauri-mawazo-2.html
 
Huyu tulishaachana, hiyo January alitaka kuja kunitembelea nikampiga marufuku asije, na mawasiliano nae tena sitaki
huyu ,mpya nimeanza nae mwezi wa pili mwishoni sijui kama ulisoma vizuri hizo post

Kumbe kwa kipindi kifupi ulikuwa nao 2.

Achana nao njoo kwangu nikupe hifadhi ya mtima.
 
Maswali mengine bana.....
Ukiona manyoya si ndo keshaliwa?

Ha ha ha!....pheeewww!
Ngoja nisepe hii topik (kabla sijatuhumiwa nami nawa-"dikteta" wanachama wapya) !
 
Ha ha ha!....pheeewww!
Ngoja nisepe hii topik (kabla sijatuhumiwa nami nawa-"dikteta" wanachama wapya) !

Anauliza kabla hayawekeza nguvu zake zaidi....
Akatafute pengine pa kuwekeza......am out as well....
 
Pole sana, unajua matatizo hayatokei kwa wakati mmoja, kila tukio limekuja kwa muda wake

Any way, kisa chako ni kizuri, ...ila punguza maneno makali kwa wachangiaji...
kesho unaweza kupata tatizo ukaona aibu kuwashirikisha wengine..kama unayoyaongea ni ya kweli, basi chukua ushauri ulopewa hapa
 
Nashukuru kwa ushauri, ile link uliyonipa nimekukuta wewe na dena mnamshambulia fanta
 
Huyu tulishaachana, hiyo January alitaka kuja kunitembelea nikampiga marufuku asije, na mawasiliano nae tena sitaki
huyu ,mpya nimeanza nae mwezi wa pili mwishoni sijui kama ulisoma vizuri hizo post

Hujapata hata muda wa kutuliza mawazo na kufanya angalau utafiti tayari umeingia kwenye matatizo mengine
kwa sasa kaa tafakari kuhusu maisha usiingie kwanza kwenye mahusiano
 
Back
Top Bottom