Nimerikoroga

@DA & mpendwa.....aa hata mi imeanza kuniboa..kumbe watu wana maid mwawili mawili ..kha!!duh ile ya fanta face kiboko lakini hehehehhehhe

ya fanta imevunja rekodi. Kwikwikwikwikwi.
Nimeipita tena, aisee kajikamatisha utamu. Hahahagahaha! Huu mchezo siujaribu.
 
Ndugu,
Achana nae huyo....ila next time you should be very carefully.
Ukiwa unaanza relationship you should not open up that much kwa mtu ambaye haumjui kiivyo.
 
chapa lapa dada, yaani mpaka sasa hujajua kuwa ni kicheche? mteme tu hana mana huyo, omba Mungu atakupa wa kufanana na wewe.

pole sana.
 
Kama hujui kusoma, hata kuangalia picha pia huwezi??


huyu jamaa amekuwa wa kwanza kuchangia mada na amemaliza kabisa....wengine tulipaswa kugonga thanks tu...maana inaonekana mleta mada hata haya tunayoandika hataelewa kitu
 
Ok. lakini ni vizuri ungesema story fupi ya mahangaiko yako hadi hapa ulipofikia. ila unapoomba ushauri wakati sisi wengine tunakumbuka kuwa bado una mpenzi unatuchanganya/

Jana kuna mtu katuchanganya pia anajiita Mamuu55 na pia yeye ni Fanta Face

Nenda hapa kwa ushahidi https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/122504-nisaidie-maoni-ushauri-mawazo-2.html


hapa ndipo huwa nafurahi sana mkuu wangu...wanajifanya wanaonewa lakini kumbe ni nyoka.......kuna yule mwingine ulimuumbua humu sijamuona tena
 
pole sana mdada. inaonekana jamaa zake ni kuongeza idadi ya number tu kwenye list yake.
 
kwa mujibu wa maelezo yako unaonekana una mvuto wa kutosha ndio maana jamaa katumia muda mwingi kukufuatilia ila nina wasiwasi ukiwa kwenye 6 X 6 may be your perfomance is not good, ndio maana baada ya kushiriki nao tendo la ndoa watu wanachapa lapa kwa sababu muonekano wako haufanani na perfomance yako.
nina rafiki yangu alikuwa na msichana mzuri ambaye anavigezo vyote ila alipo shiriki nae tu tendo la ndoa jamaa hakuwa na hamu tena ya kuwa nae kwa sababu appearance ya yule msichana ilimfanya awe na matuini makubwa ya ku-enjoy mapenzi lakini ulipofikia muda wa kufanya mapenzi kukawa na tofauti kubwa kati ya mawazo yake na uharisia.
nakushauri jihimalishe katika masuala ya mapenzi la sivyo utakuwa unakimbiwa
ninamifano mingi ambayo inafanana na issue yako.
pole dadangu
 
Kimbia kama kibaka...yani hata usiangalie nyuma.Inawezekana anakuadhibu kwa kumzingua mwanzo sasa kaona akugeuzie kibao.

Sio kwamba hakupata alicho tegemea toka kwake,labda ana kasoro flani ambazo jamaa ndo kaziona zina mboa saivi?
 
Back
Top Bottom