Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie official WhatsApp

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,176
Wakuu heshima kwenu.

Niende kwenye mada husika. Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie Official Whatsapp.

Nawezaje ku-link messages za YoWhatsapp na Whatsapp ya kawaida, coz wakiipiga ban natumai msg zote zitafutika na kuanza upya.

Sasa nawezaje ku-solve hili suala aidha, nitumie hiyo hiyo Yo kwa kuifanyia manoeuvre isipogwe ban au kutumia Whatsapp ya kawaida ikiwa na chats za zamani wakuu...?

Naombeni msaada wenu tafadhali. Thanks...!

Screenshot_20240229-202151.jpg
 
Biashara imekukata mkuu,

Ukijaribu janja janja watakupa ban permanent.

Kosa kubwa ulilolifanya ni kutumia WhatsApp, watakutreat kama drug dealer, usijaribu janja za kubackup na drive.
 
Back
Top Bottom