You need official whatsapp to use this account

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
4,085
8,453
Screenshot_20240102-095919_WhatsApp.png


Wakuu mganga ajigangi nimepata hii shida kila nikisajili namba yangu whatsapp au kusajilia namba yangu kisha nibadilishe kwenye hii namba

Huu ujumbe nimeteseka sana nao na hapo natumia official whatsapp japo kwenye kimeo changu nimeinstall custom rom ya lineage os

Shida ni kwamba namba zote zinakubali ila sasa haiwezi fanya kazi hiyo moja tu

Mwanzo wa tatizo katika pilika pilika nilikuwa natumia simu android nikawa natumia GBWhatsapp lakini sikuwahi pata ban niliupdate everytime, baadae nikahamia iphone nimetumia kidogo sikupendezwa nayo nikaiuza nikasahau account zangu mule

Baadae kuja kupata hii simu nikainstall wasap ya kawaida mwanzo iliniletea huu ujumbe ila baada ya kutumia namba nyingine kisha kubadili fo long ikakubali ila niliona simu ni ya kizamani full kustack nikaamua niistall custom rom

Baada ya hapo ndo sijawahi kuitumia namba yangu kipenzi tena pili nimekuta hiyohiyo namba imekula ban telegram sema sikumaindi koz ni mtandao wa kijinga sana nilipanga kuachana nao iliniliepuke chama la wana

Naomba muwatag wataalamu wenzangu wa tech

Ninecontact na wasap mpaka naona wamenipandishia vioo tatizo lipo palepale
Au nibadili rom?
 
Hilo tatizo nishawahi kumuona mtu likimtokea.

Lakini nilipojaribu kufungua account yake kupitia simu yangu ilikubali bila matatizo

So nilichokibaini ni kuwa baadhi ya simu zina hizo changamoto kwenye WhatsApp
 
Hilo tatizo nishawahi kumuona mtu likimtokea.

Lakini nilipojaribu kufungua account yake kupitia simu yangu ilikubali bila matatizo

So nilichokibaini ni kuwa baadhi ya simu zina hizo changamoto kwenye WhatsApp
Ni kweli mkuu hata mm ilikua inansumbuaa kwenye official ila nkatumia GB whatsapp imekubaliii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom