Nimempenda mwanafunzi wangu......nifanyeje

just ongea naye, huyo ni mkubwa kabisa! anajua jema na baya! huyo demu asijekuwa tu kama manshiroo, yuko na wewe, lakini lunch anakwenda hoteli za kifahari na matajiri!
 
Last edited by a moderator:
kusubiri nako kuna hasara zake

nayajua machungu ya kuwaiwa....

Heheh...ni kweli inauma bt if u get to know her on a friendly basis...itakupa nafas ya kujua ka una nafasi au la bila kuwa umemweleza utrue...jiepushe sana kumwambia while bado ni mwanafunzi tena kama bado yupo class yako.
 
Unajua Kipipi wasiwasi wangu unakuja pale atakapokataliwa na kuambiwa waziwazi kuwa BF wake yupo hapo hapo chuoni na wapo class moja

Ndo anapotakiwa sasa kuheshimu maamuzi ya wengine.......coz for him being mr Teacher, does not mean that he's the only man at that college....yet with the soft heart to tha chick!!
 
Wewe kama kweli ni muoaji na si muonjaji unaweza kusubiri tu manake kwa kozi yoyote anayofanya hawezi kuwa na zaidi ya miaka miwili mbele we kuwa na subira manake wahenga walisema subira yavuta heri
 
Haya ndo mawazo ya mwalimu, kweli Tz tunakazi!!
Mwache binti amalize shule..utamchanganya tu!
 
Kama mleta mada kweli ni mwalimu basi ni mwalimu wa hovyo. Ili afanye nini kuhusiana na hili, namshauri afikirie huyo anayemtaka angekuwa binti au dada yake angefanya nini? Huyo binti kaja pale kutafuta elimu na si wanaume. Kadhalika nawe kama kweli unajua unalofanya uko hapo kufundisha na si kutafuta wanawake. Kama utaendelea na jinai hii utajutia. Otherwise huyo mwanafunzi awe wa hovyo kama wewe.
 
Isijekuwa we kibabu alafu unamtaka mwanafunzi wako ambae ni sawa na mwanao!!
manaake vimwalimu vingine......mmmmmh

in the real world, tofauti kubwa ya umri siyo issue ... watu wanaolewa na wanatimiziwa mahitaji yao ya kimwili na kiroho kama kawaida
 
Kama mleta mada kweli ni mwalimu basi ni mwalimu wa hovyo. Ili afanye nini kuhusiana na hili, namshauri afikirie huyo anayemtaka angekuwa binti au dada yake angefanya nini? Huyo binti kaja pale kutafuta elimu na si wanaume. Kadhalika nawe kama kweli unajua unalofanya uko hapo kufundisha na si kutafuta wanawake. Kama utaendelea na jinai hii utajutia. Otherwise huyo mwanafunzi awe wa hovyo kama wewe.
inawezekana umenijudge hovyo mkuu...lakini mara ngapi imetokea walimu wameoa wanafunzi wao?
 
Mwambie ukweli but jiandae kua huru au kua kifungoni forever(hope u will read between the lines)
 
Tindikali, issue hapa si wanafunzi kuolewa na walimu wao. Issue ni mwalimu kutaka kumpotezea muda mwanafunzi wake. Kumuoa mwanafunzi ni kosa maana mwalimu anatumia mamlaka yake kumrubuni mtu anayepaswa kumuendeleza. Nachukia ndoa za walimu na wanafunzi. Huu nao ni ufisadi tena mbaya sana wa kitaaluma. Hebu jiulize unayemtaka angekuwa ni binti yako au dada yako kama mzazi ungefanya nini? Hebu vaa viatu vya mzazi wa huyo binti anayejinyima kumsomesha binti halafu wewe unataka kumpotezea muda na kuharibu maisha yake kwa tamaa na faida zako. Stop it. It is ridiculous even though you are trying to justify it.Acha ubinafsi na ufisi mwanangu.
 
Back
Top Bottom