Nimempenda mwanafunzi wangu......nifanyeje

kama ni Mwanafunzi wako, mfelishe katika somo lako, hasa katika Semister akiona maksi zake zinayoyoma kwenye Supp atalegea kwani hakuna anayependa Disco Au hujui mbinu za MaTutor wenzako
 
just ongea naye, huyo ni mkubwa kabisa! anajua jema na baya! huyo demu asijekuwa tu kama manshiroo, yuko na wewe, lakini lunch anakwenda hoteli za kifahari na matajiri!

Maadili ya kazi hayamruhusu, anaweza akawa karibu naye tu kama mwanafunzi huku akijitahidi kumjua vizuri; akimaliza chuo tu amweleze intention yake. With good behavior huenda na mdada akaona anafaa.
 
Mfanye monitress wa somo lako, so notice zote na communication ndogondogo za darasa zipitie kwake.
Hii mbinu huwa inalipa kweli
Kongosho umenikumbusha incentives za ma CR lol............those days bana
 
Last edited by a moderator:
mtoa mada naomba nikushauri kwamba kama unamfundisha huyu binti uwe makini sana tena uinue macho yako vyema. Ningekuwa mimi ningesubiri hadi nimalize kuwafundisha kozi(somo lako) hii kisha ndo nipropose kwake. najua akili za mabinti mkuu yani mwalimu wa wanawake naye ni kipofu binti atawehuka kwa sentensi ya kwanza tu na hapo utaharibu attention yake hasa kwenye somo lako.

mvutie pumzi kama kakusudiwa kua wako atakuwa tu. mwache umalize hiyo kozi yako inapokuja anasoma semester nyingine ndipo upropose tena waweza kutafuta contacts zake ukampigia akiwa likizo au ukamfuata anakofanyia field na hiyo ingekuwa nzuri sana. ila kwa hapo chuoni kwako usimamwambie aisee utamuharibu na unaweza pia kuharibu reputation yako. wavulana watakuekea kinyongo wewe yaani ni too complicated mwache amalize kozi zako aisee.

usi underestimate akili za kiuanafunzi na incentives wanazotegemea, ndo maana nasema akiwa field wawea kwenda kumkagua na kisha kupropose kwakua kule akili ni kama yuko home vile ila sijui wewe mwenzangu unaonaje.
 
kumbe nawe ni msinzi! acheni kula kondoo wa bwana, mnapewa kazi ya uchungaji mkiona kichaka mnamla mmojawapo kwa kisingizio cha kuoa. Mwache ahitimu kwanza!
 
mkuu humo nilimo-bold nimekuelewa vizuri sana...

nauchukua ushauri wako
 
yaani kusema vile tu ushanifanya mie mzinzi?

Anataka kuoa huyu kaka ndo maana nampa mbinu lol

kumbe nawe ni msinzi! acheni kula kondoo wa bwana, mnapewa kazi ya uchungaji mkiona kichaka mnamla mmojawapo kwa kisingizio cha kuoa. Mwache ahitimu kwanza!
 
hii hata kama ma-cr wapo wee unamchagua tu unayemtaka.

Unajisahauliza copy za notisi za kugawia darasa afu kipindi kikiisha unamwambia ijia notisi uje uwagawie wenzako.

Akija mara nne tano kama ni wa kiume umeshapata njia siku nyingiiii.

Kongosho umenikumbusha incentives za ma CR lol............those days bana
 
Last edited by a moderator:
hii hata kama ma-cr wapo wee unamchagua tu unayemtaka.

Unajisahauliza copy za notisi za kugawia darasa afu kipindi kikiisha unamwambia ijia notisi uje uwagawie wenzako.

Akija mara nne tano kama ni wa kiume umeshapata njia siku nyingiiii.

setback a hii technique ni kwamba lazima uwe ni mtu wa kuforce kingi tu ukiwa fair play mbona darasa linakufanya mchumba?
 
labda kama binti kilaza
ila mabinti vipanda ticha akianza kumzengea wanakamua haoooo.

Anajua kabisa akipiga A hata ubaneje utampa angalau C.

Msichana wa chuo mkubwa anajua kabisa ticha anataka nini, akitumia mbinu hii anaweza mpoteza.
kama ni Mwanafunzi wako, mfelishe katika somo lako, hasa katika Semister akiona maksi zake zinayoyoma kwenye Supp atalegea kwani hakuna anayependa Disco Au hujui mbinu za MaTutor wenzako
 
Hapo juu gfsonwin amekushauri vizuri sana.........Kwanza nimeshangaa sana navyoelewa ma-tutor plus lectures (wa kiume) kutembea na wanafunzi wao ni jambo la kawaida sana zama hizi...hawahitaji kujishauri, na wengi sana (nina hakika na hilo) wana uhusiano na zaidi ya mwanafunzi mmoja na wanagawa maksi kama hawana akili nzuri, ndio maana nakuona kama mtu tofauti.

Kuna naowafahamu wana network yao, demu akiwakataa ajiandae na sup otherwise awe kichwa kweli. Muhimu hakikisha amepita semister hiyo ndipo ujimwage........na ujue hakuna siri lazima atawaambia rafiki zake (iwe amekubali au kukataa)....Na pindi akiwa na wewe usije kushangaa hajisomei anasubiri maksi za bwerere na pengine na rafiki zake atawaombea kwa "mwalimu mwema" awasaidie!!!

Take care!
 
duh kazi kweli kweli ila jamaa hapo juu nimemsoma vizuri sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom