tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
- Thread starter
- #41
Tindikali, issue hapa si wanafunzi kuolewa na walimu wao. Issue ni mwalimu kutaka kumpotezea muda mwanafunzi wake. Kumuoa mwanafunzi ni kosa maana mwalimu anatumia mamlaka yake kumrubuni mtu anayepaswa kumuendeleza. Nachukia ndoa za walimu na wanafunzi. Huu nao ni ufisadi tena mbaya sana wa kitaaluma. Hebu jiulize unayemtaka angekuwa ni binti yako au dada yako kama mzazi ungefanya nini? Hebu vaa viatu vya mzazi wa huyo binti anayejinyima kumsomesha binti halafu wewe unataka kumpotezea muda na kuharibu maisha yake kwa tamaa na faida zako. Stop it. It is ridiculous even though you are trying to justify it.Acha ubinafsi na ufisi mwanangu.
naelewa maneno unayoyasema, na hayo ndiyo miongoni mwa mambo ambayo yalikuwa yakinitatiza.....na ndo maana nikalileta hapa, lakini naomba ujue kwamba si tamaa inayonisukuma...