Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
Kupenda ni maumbile ya binadamu hivyo ni haki yako. Cha msingi pata habari zake zaidi kama yuko single and available jaribu bahati yako if its work out atakuwa wako. Na ikishindikana na kwakuwa wampenda mwache aende kwani huwa tunawatakia furaha tuwapendao. Kila la heri
 
Ndugu zangu,habari zenu.

Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.

Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.

Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.

Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.

Ama kweli JF kiboko.

Siku zote nilikuwa najua GS ni mwanaume! Imekula kwangu!
 
Ndugu zangu,habari zenu.

Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.

Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.

Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.

Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.

mueleze ajue...kwani mmekutana nae wapi?
 
Nadhani kakutana naye hapa JF(kama sikosei).......sijui ndo matunda ya PM/JF Chart ama??;

"Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani."
 
Mwambie ukweli ajue maana siku hizi hata wanawake tunaweza, usiogope wala nini if u get a chance to know where about he is mtokeee tu.
 
Nadhani kakutana naye hapa JF(kama sikosei).......sijui ndo matunda ya PM/JF Chart ama??;

"Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani."

inawezekana, sasa hapa tumebakia kuhisi ni nani huyo...ila hisia za babukijana hazipishani sana na za kwangu....
 
Nami pia nahisi hivyo............Huenda mzee mzima MKJ kadondokewa hapa.........................hahaaaaaaaaaa
 
Kazi ipo.Lakini mwambie ukweli japokuwa ni ngumu kiasi.Ila sijajua kama umemuona/umekutana nae wapi.Ni hapa JF au huwa unamuona kwenye TV(CNN,BBC)?
 
nahisi huyu ni Balatanda kapendwa tetete am kidding GS kupenda hakuna fomula popote pale penzi linachipuka..
 
Lakini Gendersensitive naomba asije kuwa ni my sweet lotion :hug:ngoja nianze kufanya investigation
 
nahisi huyu ni Balantanda kapendwa tetete am kidding GS kupenda hakuna fomula popote pale penzi linachipuka..

Hahaaaaaaaaaaa..........lol.....dada yangu wewe.Mimi tayari nimeoa(bht) na nampenda sana mke wangu........Huyu ni Mwanakijiji i think
 
nahisi huyu ni Balatanda kapendwa tetete am kidding GS kupenda hakuna fomula popote pale penzi linachipuka..

nah nah..... bala ni shem wetu FL1 au umesahau? ila kama ni hivyo.......ngoja kwanza
 
Hahaaaaaaaaaaa..........lol.....dada yangu wewe.Mimi tayari nimeoa(bht) na nampenda sana mke wangu........Huyu ni Mwanakijiji i think

Mwanakijiji kasema anaogopa kumfia mtu kifuani; kwa hiyo kama ni mwanakijiji basi nashauri tukaanze kuchambua siasa na uchumi na sie!
Kwani inakatazwa kuoa mke wa pili?
BTW: Mi nilidhani GS ni dume la shoka! What a turn!!
 
GS ni binti na alishakiri kipindi kirefu kwamba yeye yu msichana..............inabidi uanze kuchambua siasa na uchumi mkuu....hahaaaaaaaa
 
inawezekana, sasa hapa tumebakia kuhisi ni nani huyo...ila hisia za babukijana hazipishani sana na za kwangu....

hahaha nimecheka kweli, yaani mtu kasema mchambuzi wa mambo ya kisiasa basi mnanibebesha mimi mzigo; mkivunja ndoa yangu I will neva forgive you.. !
 
Ama kweli JF kiboko. Siku zote nilikuwa najua GS ni mwanaume! Imekula kwangu!

Pole haujui Tanzania Gender ni wanawake? Muulize mama Six wizara yake ina mipango gani ataongelea inayohusu wanawake tu.
 
Kazi ipo.Lakini mwambie ukweli japokuwa ni ngumu kiasi.Ila sijajua kama umemuona/umekutana nae wapi.Ni hapa JF au huwa unamuona kwenye TV(CNN,BBC)?

Amekutana naye kwa macho tu kwenye TV. Ila ana kazi ngumu kumpata!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom