Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
Mgoogle upatate details, kama hapatikani huko fanya kautafiti kako mwenyewe kutumia watu unaowaamini. Hii Hii inafanyika kIla kukicha mtu akimzimia mtu asiyemjua atatumia wapambe wake 'wamuulizie'.
 
Mkuu umenisoma vizuri.Simfahamu kabisa jamaa.Namjua kwa jina bandia sio kwa jina halisi hivyo siwezi kugoogle nikapata details zake.Hata rafiki zake wa karibu pia siwafahamu.Ninaendelea kumfuatilia kwa karibu.
 
Naamini penye nia pana njia na kama imepangwa utafanikiwa. Tumia ulichonacho na source yake, hilo jina hata kama ni bandia usitie shaka, wako watu wanafahamika zaidi kwa majina bandia kuliko majina yao halali.
 
Asante kwa kunitia moyo..Bado naendelea na harakati za kumuomba MUNGU na kufanya kila niwezalo kupata details za jamaa..
 
Kupenda ni kitu cha kawaida kabisa. Mi nakushauri umtumie Personal Msg ukimweleza hisia zako mpecontacys zako ili move ianze mara moja. Una haki ya kueleza feelings zako.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom