Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
hahaha nimecheka kweli, yaani mtu kasema mchambuzi wa mambo ya kisiasa basi mnanibebesha mimi mzigo; mkivunja ndoa yangu I will neva forgive you.. !

ha ha ha...haiwezekani watu zaidi ya watatu tuhisi kitu kimoja...mimi nilivyosoma tu mawazo yangu yalinipeleka kwako hata kabla sijaona post ya babukijana...he he he at last JF tuna harusi inakuja
 
Babu kijana.Give me a break!can someone fall in love kupitia Avatar ya Mwanakijiji I dont think so.Kibabu chenye fimbo kina mvuto gani?lol..Toa ushauri basi..

Pale labda maneno yake yanakuvutia tutajuaje GS ...hawa wazee wanajua kubembeleza ati kumbuka ule mmsemo usemao akipenda chongo huona kengeza !
 
mmh GS wewe fanya means utafute contacts zake ..............baadae unamchunguza kidogo, ukiona vipi unamwambia

lkn jamani mwaona masihara ila kupenda mtu kisa anavyoongelea jambo ipo kwa sana tu......hivi wewe FL hukuwahi kupenda mtangazaji wa redio japo humuoni?
 
ha ha ha...haiwezekani watu zaidi ya watatu tuhisi kitu kimoja...mimi nilivyosoma tu mawazo yangu yalinipeleka kwako hata kabla sijaona post ya babukijana...he he he at last JF tuna harusi inakuja

Preta unajitafutia kesi za bure.MMK ni mume wa mtu,unataka kuvunja ndoa?
 
sasa nithibitishaje tena.. niweke wedding fotos!? nimeshazabwa vibao vya kutosha kutokana na comments za watu humu!! sasa naona hii inataka kwenda mbele zaidi

ok basi tumsubiri mwenye mahaba aje atudokeze ni nani amemdondokea....ila najitahidi kufikiria ni nani huyo mchambuzi yakinifu wa siasa, uchumi nk....:confused2:
 
sasa nithibitishaje tena.. niweke wedding fotos!? nimeshazabwa vibao vya kutosha kutokana na comments za watu humu!! sasa naona hii inataka kwenda mbele zaidi

Babu niliposoma tu topic na jina la mbandikaji nika-conclude ni wewe na sababu ya kufanya hivyo ninayo!!!!
 
ok basi tumsubiri mwenye mahaba aje atudokeze ni nani amemdondokea....ila najitahidi kufikiria ni nani huyo mchambuzi yakinifu wa siasa, uchumi nk....:confused2:

Ndio huyo huyo unayemfikiria ..
 
ok basi tumsubiri mwenye mahaba aje atudokeze ni nani amemdondokea....ila najitahidi kufikiria ni nani huyo mchambuzi yakinifu wa siasa, uchumi nk....:confused2:

hahaa bado unasubiri dokezo wakwetu?? mi nshapigia mstari maana my memory can still recall very well kauli ya GS humu humu kuhusu huyu huyu MMK!!!!
 
ok basi tumsubiri mwenye mahaba aje atudokeze ni nani amemdondokea....ila najitahidi kufikiria ni nani huyo mchambuzi yakinifu wa siasa, uchumi nk....:confused2:

kusema ukweli kama ingekuwa mimi ningeshukuru tu lakini naamini nimeshaeleweka wazi humu kuwa sipo kutafuta tayari ninaye wa ubani (mkali kama nini) na hata yule wa jadi naye yupo.. sasa mengine ntajitafutia mada kesi tu. Huyo aliyedondokewa kwa kweli asikatae moyo wa mwenzie.
 
Babu niliposoma tu topic na jina la mbandikaji nika-conclude ni wewe na sababu ya kufanya hivyo ninayo!!!!
Dah tatizo la GS haeleweki vizuri maana mi sijui kwamba ni SHE/He maana ukimuita She anagonga thanx ivyo ivyo ukimwita HE angonga thanx!!
 
nahisi huyu ni Balatanda kapendwa tetete am kidding GS kupenda hakuna fomula popote pale penzi linachipuka..

mamaa mume mchungu tafadhal sana dearest matron!!!!! usinirushe rorho mwenzio!!!!
 
hahaa bado unasubiri dokezo wakwetu?? mi nshapigia mstari maana my memory can still recall very well kauli ya GS humu humu kuhusu huyu huyu MMK!!!!

lakini amekataa hiyo tunu...kuna kazi kweli kweli...nimejaribu kufanya fikirio la pili nikampata ndege ya uchumi lakini bado akili inakataa
 
lakini amekataa hiyo tunu...kuna kazi kweli kweli...nimejaribu kufanya fikirio la pili nikampata ndege ya uchumi lakini bado akili inakataa

hata staki!!!!!!!!!!!! bado hujanishawishi, uzuri ni kuwa memory yangu bado ya moto sana, kuna kitu nakumbuka then naunganisha na hii ndo napata jibu hili.

ama kweli..................''the best and most beautiful things in the world cannot be seen or even touched, they must be felt by the heart''...........as GS's love for.........
 
Acha Ujinga wewe

Mapenzi Ya Internet au Kama wasemavyo watoto wa siku Mapenzi ya Dotcom, mpaenzi ya Facebook,......fanya kazi acha upuuzi huo:brick:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom