Nimempa mimba mama mkwe wangu

Ni kweli inaweza ikawa chai lakini jee ikiwa kweli na akaufata ushauri wako? Kuna siku kuna mdada mmoja aliniomba nimpeleke hospitali sikujua anaumwa na nini mpaka nilipofika ndio nikaijua picha yote kuwa anataka kuitowa mimba. Nilimshauri sana asiitowe lakini hajakubali wakati tukirudi sikuongea nae njiani na sikuweza kumuacha pale hospitali peke yake kwasababu ilikuwa mbali kidogo. tukiwa njiani tulipata ajali mbaya sana mpaka leo sijaongea nae huyo mdada.
Akili ya kuambiwa+ Akili yako= maamuzi
 
Mtoa mada fanya hv..iwapo unaishi maeneo hayo hujajenga,kama bado unatafuta maisha hama hapo tembea umbali kama kilomita 2000.kama uko Bukoba hamia Tunduma,kama uko Dar hamia Kigoma,huyo mama mkwe atakusahau na atazoea kua peke yake na mimba yake.kukaa karibu ni hatari
 
Una mke na mtoto mmoja... haraka haraka ndiyo yako imepita mwaka mmoja... kwenye harusi yako naimani huyo mama alikuja nae... mpaka una mpa mimba kwa maana mshafanya sana... hapo kuna kaaharufu ka uongo fulani hivi...
Pole sana.
 
Wakati mnafunga ndoa na mkeo kwenye utambulisho huyo mtu hakutambulishwa au?

Pole sana kwa kipigo cha Jana Madrid hawafai aisee "BBC"
 
Kipigo cha Jana mashabiki wa Barcelona wamechanganyikiwa wanaongea hovyo kama machizi. We makuzi PNC 1 umtie nani mimba we mwenyewe mimba. Hizi stori za kutunga kawahadithie form two wenzio shule zikifunguliwa.
 
Mwambie ukweli uone ana react vipi, utapata sehemu ya kuanzia. Mwambie wewe ni mama mkwe wangu na limetokea hili; muombe mshauriane nini cha kufanya kabla ya taarifa za umbea kumfikia mkeo!!. Shahara wa dhambi ni mauti!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
We mweleze huyo mama mkwe kwamba wewe ni mkwe wake. Akijua hivyo hilo la mimba atalitatua yeye fasta.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom