Ananiongelea vizuri kwa Mama Mkwe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga.

Juzi wakati nipo mahali nilikutana na Mpangaji anaeishi kwenye nyumba ya Mama mkwe, yule Dada akawa akaniambia kuwa Mpenzi wangu amekuwa akinipa sifa kedekede kwa Mama yake (Mama Mkwe).

Kiukweli nilishangaa kusikia maneno hayo, maana mimi najua fika kuwa yule Demu yupo namimi kimaslahi zaidi na sio vyenginevyo.

Moja ya alichokiongea ni kuwa mimi Mjanja m1 ndio ananipenda na anataka nimuoe.

Naomba ushauri.
NITOKE NDUKI, AU NIENDELEE KUWA NAE HUYU MREMBO?
 
Utakapo jikuta i.c.u umepigwa kitu kizito ndio utafahamu maji ya mvua na bahari kwanini yanajitenga!
 
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga.

Juzi wakati nipo mahali nilikutana na Mpangaji anaeishi kwenye nyumba ya Mama mkwe, yule Dada akawa akaniambia kuwa Mpenzi wangu amekuwa akinipa sifa kedekede kwa Mama yake (Mama Mkwe).

Kiukweli nilishangaa kusikia maneno hayo, maana mimi najua fika kuwa yule Demu yupo namimi kimaslahi zaidi na sio vyenginevyo.

Moja ya alichokiongea ni kuwa mimi Mjanja m1 ndio ananipenda na anataka nimuoe.

Naomba ushauri.
NITOKE NDUKI, AU NIENDELEE KUWA NAE HUYU MREMBO?
Apo mbona simple mkuu... fanya hv, muoneshe kuwa unampenda sana af siku akikuweka kwenye target akupige kizinga mkwepe, sema huna ela... reaction yake apo ndo itakupa jib. Akiwa mkali shtuka bro... badilisha gia
 
Kimbia ndugu. Umeambiwa unachotaka kukisikia.
Hisia zako za kwanza juu yake ni onyo la nafsi yako juu ya uhalisia wake, yupo kimaslahi.

Mpangaji ni sehemu ya mkakati wa kukuteka zaidi. Pengine hata 'mama mkwe' hajui uwepo wako hapa duniani. Na pengine kuna njemba kadhaa zimefikishiwa ujumbe kama wako na mpangaji.
 
Sawa Mkuu Cholo, naufanyia kazi ushauri wako.
 
Kimbia ndugu. Umeambiwa unachotaka kukisikia.
Hisia zako za kwanza juu yake ni onyo la nafsi yako juu ya uhalisia wake, yupo kimaslahi.

Mpangaji ni sehemu ya mkakati wa kukuteka zaidi. Pengine hata 'mama mkwe' hajui uwepo wako hapa duniani. Na pengine kuna njemba kadhaa zimefikishiwa ujumbe kama wako na mpangaji.
Sawa Mkuu, ngoja nitoke Nduki...
 
Huo ni ujasusi wa uchumba na uchumi.

Huyo mpangaji ni agent, ametumwa na huyo Dem wako kupiga propaganda na amefanikiwa.

Jibu mapigo Kwa kumuita geto umtombe usiku kucha..... Akiomba Hela mwambie huna. Umpime reactions zake.
 
Back
Top Bottom