Nimempa mimba mama mkwe wangu

kama ni kweli rejea kwenye wimbo wa sjui nani niiiiiiiiii hustoe mimba yangu we, kwa yawezekanana mke wangu kazaa boya ila mama mkwe atazaaa Broo Magu nakuomba nderela hustoe mimba yanguuuuuu weeeeeeeeeeee ebu imba huu wimbo kaka
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mambo ya wanaume wa Darisalama haya!!

Sasa tukashauri nn? Unavyoonekana hujutiii hata dhambi yako!.
 
Wanaume wa dar , inabidi wachunguzwe sio bure na wewe kama sio mkwere,mzaramo, mtu wa tanga ,mngendereko na makabila ya pwani sijui

Wanaume wa mikoani tunaheshim sana wakwe zetu
 
kama ni kweli rejea kwenye wimbo wa sjui nani niiiiiiiiii hustoe mimba yangu we, kwa yawezekanana mke wangu kazaa boya ila mama mkwe atazaaa Broo Magu nakuomba nderela hustoe mimba yanguuuuuu weeeeeeeeeeee ebu imba huu wimbo kaka
Teh teh teh jamaa aimbe songi kwanza kama picha ya kihindi
 
Wasalaaam wanaJF nikiwa bado na huzuni yangu dhidi ya Barcelona
Leo kwa mara ya kwanza ninaomba ushaur hapa jukwaani kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuwa nina mke na mtoto mmoja ila katika pitapita zangu nikakutana na Mmama wa makamo. Kumbe yule alikuwa ni mama mdogo wa mkewangu ila ckutambua had pale nilipomaliza kufanya yangu Siku moja tukiwa sehemu tulivu nikashika simu yake nikakuta picha ya Wife kwenye simu yake nilipomuuliza akanijibu kuwa hyo picha ni ya mwanae mtoto wa dada yake kiukweli hamu yote ikaniisha. Niliporud home nikamuuliza wife unamjua mtu fulani akasema ndio ni mama yake japo ni mtu wa pilikapilika kwenye biashara zake ila alimuahid siku moja angekuja kumtembelea
Sasa kubwa zaidi tiyar kitu kimenasa tumboni na kanihakikishia ni yangu japo mahusiano naye nimepunguza baada ya kugundua ukweli ila kila nikifikiria sipati majibu hvyo nimeleta hapa jukwaani Home of Great Thinker naamini nitapata angalau ushauri
Mkuu mimi naona kama na wewe upo katika ile 49% ya dna aliyosema waziri wa afya.
 
Umekula kuku na mayai yake. Hongera saaana. Hivi kwani ukipima nani ni fundi wa mavitu ya kitandani, mama au mtoto? Sasa unaogopa nini, akija home unamweleza maza hauze kwamba huyo nae mwenzio. Halafu unasikilizia mziki utaendaje, kwani mwisho wa siku itakuwa kawaida, na mtoto akizaliwa inakuwa pouwa na mapenzi motomoto. Ukinda kwa mama unaitwa 'baby, ukirudi kwa mtoto unaitwa 'honey', raha tupu maisha yanogile kwa saaana.
 
Kuwa mpole, sio kila mtu anaomba ushauri nyingine ni chai
Ni kweli inaweza ikawa chai lakini jee ikiwa kweli na akaufata ushauri wako? Kuna siku kuna mdada mmoja aliniomba nimpeleke hospitali sikujua anaumwa na nini mpaka nilipofika ndio nikaijua picha yote kuwa anataka kuitowa mimba. Nilimshauri sana asiitowe lakini hajakubali wakati tukirudi sikuongea nae njiani na sikuweza kumuacha pale hospitali peke yake kwasababu ilikuwa mbali kidogo. tukiwa njiani tulipata ajali mbaya sana mpaka leo sijaongea nae huyo mdada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom