Mama mkwe wangu ananitandika na kunitesa vikali

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
4,688
10,183
Kiukweli huyu Mama Mkwe ni mwisho wa reli. Ananibamiza haswa.

Kabla ya ujio wake, nyumbani kwangu palikuwa swalama waswalamanta. Lakini tangu aje hapa pamegeuka kibiti, ananinyuka kama kifaranga.

Ana gubu kali, ukikohoa anasema unamcheka, anakubutua na mwiko. Nimevimba kila mahali, uso wangu umehorojoka.

Sijui hata nifanyeje kwa kweli. Nimeenda kwa mashekhe lakini haijasaidia.

Sura yake ndio hiyo hapo kwenye DP yangu, ananikera na venye ana komwe basi tafrani, usiombe akupe moja ya kichwa unasambaratika.

Mwenzangu hayupo kasafiri kikazi, natamani kwenda kuripoti geshi la polisi.
 
Asante sana, maana nilikuwa nawaza nitapata wapi kifungua kinywa.

JamiiForums2144198311.gif

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kiukweli huyu Mama Mkwe ni mwisho wa reli. Ananibamiza haswa.

Kabla ya ujio wake, nyumbani kwangu palikuwa swalama waswalamanta. Lakini tangu aje hapa pamegeuka kibiti, ananinyuka kama kifaranga.

Ana gubu kali, ukikohoa anasema unamcheka, anakubutua na mwiko. Nimevimba kila mahali, uso wangu umehorojoka.

Sijui hata nifanyeje kwa kweli. Nimeenda kwa mashekhe lakini haijasaidia.

Sura yake ndio hiyo hapo kwenye DP yangu, ananikera na venye ana komwe basi tafrani, usiombe akupe moja ya kichwa unasambaratika.

Mwenzangu hayupo kasafiri kikazi, natamani kwenda kuripoti geshi la polisi.
Mbn Kama maokotoooo ayaaa
 
Back
Top Bottom