Nimemfumania mke wangu, nimechanganyikiwa! Ushauri tafadhari...

..... Inauma sana .... :fish: :plane: :llama:hapo ina taka habari kamili baada ya kumfumania ulichukua hatua gani? huyo jamaa ulimwachia aende zake? ............ Je Nikupe namba ya yule jamaa wa temeke mwenye mke aliyesababisha jamaa wang'ang'aniane?
 
mkuu kama amekuomba msamaha msamehe na umsamehe kwa dhati usioneshe kupunguza upendo kwake,kama ni mtu wa kujifunza atakuwa amejifunza wala hakuna haja ya kumwacha aendelee kukaa kwao lakini ukijagundua amerudia kosa tena chukua peleka kwao na talaka siku hiyo hiyo,MPE NAFASI MOJA TU YA MWISHO akiichezea huyo si riziki yako ndg.
Mkuu, labda we una bahati jambo kama hili halijakukumba. Sie wenye uzoefu nalo tunajua maumivu yake, hasa kama mtu umejitahidi kuwa mwaminifu kwa mwenza wako. Sanasana wengi wanachofanya ni kusamehe kwa mdomo tu na huwa wanafanya hivyo ili kuridhisha watu wengine, lakini deep kwenye mioyo yao, bado kunakuwa na kifundo hivyo mambo mabaya zaidi hutokea baada ya hapo ingawa wanaonekana kama walishasameheana
 
Wana JF nimeoa na nina mtoto mmoja ana miaka minne,nimemfunia mke wangu anafanya mambo na kijana fulani wa mtaani hapa hapa.Nimemrudisha kwao ila naona kama adhabu haitoshi kuna muda natamani kama nimkatekate vipande vidogo vidogo vya nyama au hata niende kwa mganga amfanye chizi.Bado wazazi wamekutana wanasema nimsamehe.Naomba busara zenu wanaJF ila pia nawapeni somo msiwaamin wanawake anaweza kukugeuka siku yoyote,mm mke wangu nimetoka nae shule ya msingi mpaka mwaka huu ni zaidi ya miaka 13

mkuu kama amekuomba msamaha msamehe na umsamehe kwa dhati usioneshe kupunguza upendo kwake,kama ni mtu wa kujifunza atakuwa amejifunza wala hakuna haja ya kumwacha aendelee kukaa kwao lakini ukijagundua amerudia kosa tena chukua peleka kwao na talaka siku hiyo hiyo,MPE NAFASI MOJA TU YA MWISHO akiichezea huyo si riziki yako ndg.
 
Kuna mmoja alimsamehe mke wake na kumchukua baada ya wazazi kubembeleza wasmeheane
Walipofika home hasira ya mme ikaanza upya akamuu kwa kumchoma visu mwanamke na yeye kujisalimisha police
Take your time !

A true mark of an undeveloped neanderthal.
 
You still talk the same thing in what appear in the bold phrases down there...i thought your statement that marriage cannot be based on CHRIST was like saying CHRIST was against marriage..Ndio maana nikasema probably unakataa ukiamini labda kwa sababu hata CHRIST mwenyewe hakuoa...Actually, right now i cant remember exactly the verses on which JESUS insisted polygamism, however, i am quiet sure there are!...But what matters would be for you to implicitly and explicitly explain how marriage should not be based on CHRIST!!..can you???

I did not say he was against marriage, although some may read his life as rejection of marriage and use that to say at least personally, he avoided marrying.

Could you provide verses that Christ was "insisting people to be polygamist"?

Huwezi kubase ndoa kwa Christ kwa sababu Christ hakuwahi kuoa. Unless unaongea metaphorically unataka kuwa mtawa, ndoa yako iwe na kanisa/ kazi ya mungu, si na mtu.

Basing your marriage on Christ is like basing your belief in god on Kiranga.
 
Umetaja wazazi inamaana mmefunga ndoa, sasa tusaidie nyie ni dini gani?
Nadhani ushauri utaupata kutegemea dini mliopo.
 
You still talk the same thing in what appear in the bold phrases down there...i thought your statement that marriage cannot be based on CHRIST was like saying CHRIST was against marriage..Ndio maana nikasema probably unakataa ukiamini labda kwa sababu hata CHRIST mwenyewe hakuoa...Actually, right now i cant remember exactly the verses on which JESUS insisted polygamism, however, i am quiet sure there are!...But what matters would be for you to implicitly and explicitly explain how marriage should not be based on CHRIST!!..can you???

You cannot base your marriage on someone who never married.

That will be like basing your boxing skill on a non-violent person like Gandhiji.

Christ cannot be a role model for marriage, the man never married.
 
Cha msingi achana nae! It's better to live alone kuliko kuendelea kuishi na huyo cheater
 
Mungu aliumba dunia na maajabu yake ya mwenzako sikia ila yasikupate kiukweli! Dah! Pole sana mkuu mapenzi haya jamani..
 
I got your concern my friend Kiranga ..It has come to my senses that for you someone to be your role model, it should take him/her to be in the centre of action..ryte?...But take that in this way..Jesus has never used alcohol, however, it is written that at some point in his mission HE made a WINE ..what would be your remarks if i say that JESUS was supportive in alcohol though HE never take it??...What do you in particular believe in these PROPHETS..their DEEDS or their WORDS?????

You cannot base your marriage on someone who never married.

That will be like basing your boxing skill on a non-violent person like Gandhiji.

Christ cannot be a role model for marriage, the man never married.
 
Last edited by a moderator:
I got your concern my friend Kiranga ..It has come to my senses that for you someone to be your role model, it should take him/her to be in the centre of action..ryte?...But take that in this way..Jesus has never used alcohol, however, it is written that at some point in his mission HE made a WINE ..what would be your remarks if i say that JESUS was supportive in alcohol though HE never take it??...What do you in particular believe in these PROPHETS..their DEEDS or their WORDS?????

I value deeds, not words. Anyone can say, it takes conviction to do.

In your example, if at all what is claimed to have happenned did happen, then I would concurr that Jesus was indeed for taking wine because he made wine.

And one can be justified in basing his wine drinking on Jesus, because Jesus did actually drink wine.

You can't draw a parallel in marriage.
 
Pole sana kaka, hili jambo linauma sana kwa wanaume, sijui dini yako ila kwa wale wakristo nadhani ndio maana kuna hii verse..

Mathew 5:32

But I say to you that everyone who divorces his wife, except on the ground of sexual immorality, makes her commit adultery, and whoever marries a divorced woman commits adultery.

Nadhani ndio maana dini nyingi zinashauri watu wangesuburi hadi watakapooana na kuwa waaminifu kwenye ndoa zao.
Usingesikia watu wanakimbia DNA, na huenda idadi ya watoto wa mitaani ingepungua.
 
Wana JF nimeoa na nina mtoto mmoja ana miaka minne,nimemfunia mke wangu anafanya mambo na kijana fulani wa mtaani hapa hapa.Nimemrudisha kwao ila naona kama adhabu haitoshi kuna muda natamani kama nimkatekate vipande vidogo vidogo vya nyama au hata niende kwa mganga amfanye chizi.Bado wazazi wamekutana wanasema nimsamehe.Naomba busara zenu wanaJF ila pia nawapeni somo msiwaamin wanawake anaweza kukugeuka siku yoyote,mm mke wangu nimetoka nae shule ya msingi mpaka mwaka huu ni zaidi ya miaka 13
Kwa sisi wakristo huwa tunafundishwa saana habari ya kusamehe mara saba sabini, tena wakati mwingine tunakumbushwa kuwa ikiwa sisi tunamkosea MUNGU hata ikiwa dhambi kubwa kiasi gani yeye hutusamehe! kaza moyo! Habari ya kisasi ni ya Mungu mwenyewe Mwombe Mungu akuwezeshe kumsamehe! Lakini pia hata kama ni dini nyingine fuata maelekezo ya dini yako yanayohusu kusameheana
 
Msamehe!kwani adhabu uliyompa inatosha kama wakusikia atakuwa kasikia.
 
Kwa sisi wakristo huwa tunafundishwa saana habari ya kusamehe mara saba sabini, tena wakati mwingine tunakumbushwa kuwa ikiwa sisi tunamkosea MUNGU hata ikiwa dhambi kubwa kiasi gani yeye hutusamehe! kaza moyo! Habari ya kisasi ni ya Mungu mwenyewe Mwombe Mungu akuwezeshe kumsamehe! Lakini pia hata kama ni dini nyingine fuata maelekezo ya dini yako yanayohusu kusameheana

Ukumbuke vile vile tumeruhuciwa kutoa talaka kwa kosa la zinaa.. (Mathayo 5:32).. Kuzini nje ya ndoa ci tu kwamba ni kosa kuliko makosa mengine.. Ni kuvunja kitu kitakatifu kilichopata baraka machoni pake Baba Mungu.. Kibinaadamu ni betrayal ambayo itabaki kama jeraha ndani ya moyo..
 
Asante kwa hilo.wewe toka umuoe hujawahi tembea nje ya ndoa?

Jiulize swala hilo hapo juu..
Jibu likiwa ndio, msamehe mkeo na mrudiane.
Jibu likiwa hapana uamuzi ni wako either kumsamehe au kumuacha.
Inawezekana nawe umeshawahi KUZINI nje ya ndoa sema ni vile tu mkeo hakuwahi kukufumania!!

Kumbuka imeandikwa.., "asiye na dhambi kati yenu awe wa kwanza kumrushia jiwe"
 
Kwa sisi wakristo huwa tunafundishwa saana habari ya kusamehe mara saba sabini, tena wakati mwingine tunakumbushwa kuwa ikiwa sisi tunamkosea MUNGU hata ikiwa dhambi kubwa kiasi gani yeye hutusamehe! kaza moyo! Habari ya kisasi ni ya Mungu mwenyewe Mwombe Mungu akuwezeshe kumsamehe! Lakini pia hata kama ni dini nyingine fuata maelekezo ya dini yako yanayohusu kusameheana

...na pia tunafunzwa habari za kuikimbia zinaa...., uasherati..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom