Nimemfumania mke wangu, nimechanganyikiwa! Ushauri tafadhari...

Usiwaze kumuua mkeo wala kumfanya chizi, jichunguze ni wapi kuna mapungufu hadi anaamua kukusaliti. Binafsi nakushauri utullie na kuendelea na shughuli zako - achana naye huyo kama kweli anakupenda atakuja mwenyewe na kuomba msamaha.
 
najua umeumia lkn nikuulize kitu kimoja je umejifunza nn kutokana na hilo ?sababu sidhani kama unamridhisha so ni lazima kuna kitu unajisahau kumpa mpaka kakifuata nje
dont point a finger on her
jiulize ww umetimiza wajibu wako otherwise ukimuacha au ukiwa na mwanamke mwingine makosa yatakua yaleyale,jifunze kupitia makosa yako mwenyewe hayo ya kumuacha au kutimuacha ni ww tu
 
Biblia inasema katika Isaya 52:11-12 kwamba hamtatoka kwa haraka wala kwa kukimbia. Ushauri wangu kwako usifanye haraka sana kutoa maamuzi tulia kwanza halafu baadaye utafahamu wapi wewe ulipokosea pia hadi atoke nje. Rekebisha Hilo eneo na ndipo umrudie mkeo maana amejifunza vya kutosha kwenda nje ya Ndoa. Je wewe ungefumaniwa na mwanamke unafanya uzinzi Yeye angechukua hatua ipi. TAFAKARI
 
mimi huwa nashangaa sana! hapa jf akija mdada anaomba ushauri mumewe anamsaliti, watu mnamshauri chondechonde amsamehe kisa watoto, nk! lakini mbona uyu mnakomaa naye kuwa amuache? kwanini naye asisamehewe? mkuki kwa nguruwe.....wanaume huwa wanaumia sana wake zao wakiwacheat ila wao aaaah, wacheat tu wanaona kama sisi tuna mioyo ya chuma na sio nyama humu katika miili yetu!! inaniuma sana!
 
Mali ikipotea mwenye mali anaumia sio kwamba mwenye mali akipotea mali inaumia.
 
Wana JF nimeoa na nina mtoto mmoja ana miaka minne, nimemfunia mke wangu anafanya mambo na kijana fulani wa mtaani hapa hapa.

Nimemrudisha kwao ila naona kama adhabu haitoshi kuna muda natamani kama nimkatekate vipande vidogo vidogo vya nyama au hata niende kwa mganga amfanye chizi.

Bado wazazi wamekutana wanasema nimsamehe.

Naomba busara zenu wanaJF ila pia nawapeni somo msiwaamini wanawake anaweza kukugeuka siku yoyote, mimi mke wangu nimetoka nae shule ya msingi mpaka mwaka huu ni zaidi ya miaka 13
Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom