Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

Dah! kweli wewe naona bado akili yako ya kitoto! yaani hiyo blog imejaa wanawake wa facebook na kwanini sio marafiki wanaume wa facebook, halafu nimeshangazwa na kujiuliza wewe ndio ulikuwa uwe mbunge wa EA ukituwakilisha???? mbona balaa hili ! cheni nje nje kifua wazi maana ni mambo ya wauza unga hayo! mbona Tanzania kuna mambo !!!! hebu kwanza jaribu kumature na ubadilike halafu ndio urudi kwenye ulingo wa siasa! unamuonesha nani hiyo cheni? umeniudhi !!!!!
 
Toba rabi nami nimechungulia huko. Yaani ni kusema kwamba huna marafiki wa kiume au hata kitu cha maana cha kuweka bloguni kwako? So sad, hebu fanya faster angalia blog kama za akina michuzi, mjengwa, full shangwe, etc. Au tuseme motive yako ni promotion of facebook!!! Du fabebook friends!!!!!!!!!! Haya mbunge mtarajiwa wa Segerea, oppppppss mtera!!!! ops
 
willie fanya mazoezi..umenenepa kama taahira!

Mpaka anaota manyonyo bana

fere3.jpg
 
mie sielewi hii bashing wana jf inakuja vipi????blog ni personal journal mtu anaweka kitu anachojisikia,ukiona unapenda mtembelee ukiona hupendi usimtembeleee period.......mkoo soo negative mpaka mnasuck....
 
310x102xlogo_m.jpg.pagespeed.ic._lJL9UmHsZ.jpg

Alileta humu ili watu wachangie bila shaka, sasa kila mmoja anatoa mawazo yake kama nembo ya JF ilivojionesha sasa yeye avumilie tu, kuna watakaoukuwa Positive nae na watakaoukuwa Negative nae! binafsi sioni kama ina tija hasa ikizingatiwa huyu bwana juzi tu alikuwa akiomba uwakilishi kwenye Bunge la Afirka Mashariki! sasa mtu anajiuliza hivi mtu wa aina hii ndio akatuwakilishe sisi waTanzania? tunashangaa kwa kweli ! wacha watu tusema na tucomment openly !
 
Yaani hili jamaa puuzi kweli, mimi huwa silielewi lipo kama lina mambo ya kichoko choko vile, hawezi kuwa hapumuliwi kisogoni, hayo maudhui ya kwenye blog yake yana msaada gani kwa jamii ni kama vile udaku udaku na tabia za kina mashostito.

Huu sio ustaarabu hata kidogo, hata kama unamchukia mtu kiasi gani kupost matusi kama hv si sahihi, pia nadhani ni kipimo cha uelewa wako.. Sijui mods wamelala!

Kuambiwa 'where we dare to talk openly' doesn't mean 'where we dare to “f$ck' openly'

Jiheshimu mamaa!
 
Wadau, nimeshindwa kumuelewa huyu mwenzetu, aliyekuwa anatarajiwa kuwa Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, kaka yetu, mdogo wetu William. Yaani kwenye facebook wall yake anajaza picha za mademu eti mara wapo Washington DC mara wa Tanzania. Sasa nashindwa kumuelewa huyu jamaa.
Ona hii hapa
vida.jpg

Source:Malecela Blog: MREMBO WA DC AFUNIKA BLOG!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom