Tunatengeneza Blog za kisasa pamoja na YouTube Channels. Malipo ni baada ya kazi

Unasemeje

JF-Expert Member
Apr 29, 2021
249
915
Habari wakuu, endapo unahitaji blog nzuri kwaajili ya matumizi yako basi hapa umefika, tutakutengenezea blog yakisasa na kwa bei hizi;

1. Blog isiyo na custom domain name 10,000/= yaani address yake inakuwa hivi (jinakako.blogspot.com)

2. Blog + custom domain name 30,000/= yaani address yake inakuwa hivi (jinalako.com au .org au .info nk)

3. YouTube channel 10,000/= kutengeneza na kui optimize kulingana na content unazotaka kuweka.

4. Baada ya kukukabidhi tutakuekekeza ABC za namna ya kuweka content, jinsi ya kutafuta keywords zisizo na ushindani mkubwa nk.

NB: Tunatoa ushauri bure, tunajibu maswali bure.
 
Mkuu nahitaji huduma. I want to start as soon as possible.....
 
Back
Top Bottom