Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

Yule jamaa kwa kumtazama tu unajua kilaza na ndo mana babake alimpeleka unaharia mana alijua ni mzigo kwa familia..!! haya ndo mamb0 anayopenda kuuza sura na akina sinta..!!
View attachment 54338

- Mkuu saafi sana umeona hii pic na JLO wa bongo, people naomba kuwashukuru sana yaani blog is doing great average ya watu 2400 kwa siku katika siku 5 tu za kuwa hewani watu 11,000 tayari inatia moyo sana nawaomba tuwe hivyo hivyo pamoja sana, tutaifungua rasmi karibuni sana, MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI!

William.
 
Big Up,

Mimi sielewi matatizo ya watu yeye ana Niche yake anatafuta sio lazima ifanane na ya michuzi, mjengwa, au full shangwe , its all about Visitors, Visits in webtrends , mtu hujalazimishwa kuingia tuko watu tunaoinigia kila siku maana anachanganya vitu tofauti bigs up , hatutaki blog ambayo tunajua tutakuta nini , siku zingine chadema , CCM , watoto wa Mujini enzi zile that really good, keeps your numbers up , tnen when they are really up contact me for Webtrends analysis then unawazoa kwa nyavu sio ndoano , tunahitaji kuona hao madada pia waongeze tuu na mimi na kama tungekuwa na umri wa hao wanaoangalia hizo za wanawake wengi wao ni above 40
 
Aaaargh akili yako na umri wako haviendani yaani lazima ukizeeka utakuwa mchawi tu, maana mpaka leo unawaza taste ya picha ni wanawake waliojikaliakalia tu, bora huu upuuzi wako unge-MP mkamalizana maana hapa unatujulisha na sisi jinsi ubongo wako ulipoishia
 
Website au blog lazima iwe ni dhima, je blog yako dhima yake nini haswaa?? Nimepita kwenye hiyo blog yako lakini sijaelewa dhima ya blog hiyo naona picha picha tu...
 
  • Thanks
Reactions: Taz

...Kujifagilia tayari kwa kinyang'anyiro cha 2015 kule jimboni.
Mhhh! sidhani kama hili litawezekana..kuna mapungufu meeeeeeeeeengiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa chama cha magamba
 
Aaaargh akili yako na umri wako haviendani yaani lazima ukizeeka utakuwa mchawi tu, maana mpaka leo unawaza taste ya picha ni wanawake waliojikaliakalia tu, bora huu upuuzi wako unge-MP mkamalizana maana hapa unatujulisha na sisi jinsi ubongo wako ulipoishia

I don't care kama wewe au yeyote yule anajua ubongo wangu ulipoishia amnihusu kwa lolote ila muacha mawivu uasio na msingi watu kibao wanaangalia hii blog na watazidi tuu kuwa wengi
 
Big Up,

Mimi sielewi matatizo ya watu yeye ana Niche yake anatafuta sio lazima ifanane na ya michuzi, mjengwa, au full shangwe , its all about Visitors, Visits in webtrends , mtu hujalazimishwa kuingia tuko watu tunaoinigia kila siku maana anachanganya vitu tofauti bigs up , hatutaki blog ambayo tunajua tutakuta nini , siku zingine chadema , CCM , watoto wa Mujini enzi zile that really good, keeps your numbers up , tnen when they are really up contact me for Webtrends analysis then unawazoa kwa nyavu sio ndoano , tunahitaji kuona hao madada pia waongeze tuu na mimi na kama tungekuwa na umri wa hao wanaoangalia hizo za wanawake wengi wao ni above 40

- Mkuu heshima yako sana ndugu yangu, tupo pamoja na pia ninaomba kuwashukuru sana wananchi hapa maana sasa we are about to conquer the industry, in six days hewani na hatujamaliza matengenezo, tayari jana tumeingia a record ya 4000, visitors inatia moyo sana,

- Soon ninategmea kuwaachia vijana wadogo kuendelea na hiyo kazi mimi kama kawaida yangu ilikuwa kweka msingi tu, maan muda wangu hautoshi kusiammia blog unajua ni very demanding inahitaji masaa yote uwe behind the bomba, mkuu uiweza tuwasiliane tuone vipi namna ya kusonga mbele zaidi.

- JAMANI KARIBUNI SANA KULE; Super Malecela WJ Blog au Super Malecela WJ Blog

William.
 
Yule jamaa kwa kumtazama tu unajua kilaza na ndo mana babake alimpeleka unaharia mana alijua ni mzigo kwa familia..!! haya ndo mamb0 anayopenda kuuza sura na akina sinta..!!
View attachment 54338

- Jamani JF ahsanteni sana maana so far takwimu za blog zinaonyesha kwamba mnaongoza kwa traffic kule kwenye blog, mnafuatiwa na Facebook, halafu Michuzi, tupo wote poeple na mbarikiwe sana!

- HAPO KWENYE PICHA HUYO WA KATI KATI NI JLO wa Bongo!!, mcheza kwako hutunzwa bana yaani kumbe tunakubalika sana humu JF, wee tizama hata hii thread inaelekea kuweka record ya kupitiwa na watu wengi sana kwenye huu uwanja, thaanks JF one page ndugu zangu, saafi sana hivi tupendane!

William.
 
- Mkuu saafi sana umeona hii pic na JLO wa bongo, people naomba kuwashukuru sana yaani blog is doing great average ya watu 2400 kwa siku katika siku 5 tu za kuwa hewani watu 11,000 tayari inatia moyo sana nawaomba tuwe hivyo hivyo pamoja sana, tutaifungua rasmi karibuni sana, MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI!

William.
offcourse ukiweka picha za mapaja ya wadada utapata hata watu milioni mia mbili kwa siku..naona unashindana na Mange ..big up na hongera ..kidumu chama cha mapinduzi
 
Baba alikuwa afdahali wakati huo.....

JOHN+MALE.jpg
 
Sio kila anaekuja kwenye blog yako basi ana interest nako! Watu wanataka kuona ujinga uliofanya mtu mzima then afterthat wanakupa shit! By the way Jina la Nchi hii ni Tanganyika.. Uamsho wakikamilisha ukombozi.
 
Nimeipenda haukuonyesha itikadi za familia yako,
ningependa kuwa member lakini nimeshindwa kujisajili,
nitaendelea kuisoma mara kwa mara kwa kuwa nimeiweka
kwenye favorites zangu.
 
- Sawa sawa mkuu tupo pamoja sana ile ni Blog ya watu wote, so kila part ya jamaii inawakilishwa pale! one page tupo pamoja sana!

William.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom