Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

Ataboresha pole pole at time goes na ushauri wako pia unaweza kuwa msaada kwa yeye kuboresha blog yake

- Thaanks bro, pole pole inaanza kusimama bado tupo mbali sana kufikia inapotakiwa lakini Roma haikujengwa siku moja, ninawashukuru sana kwa hoja zenu nyingi zinaonyesha positiveness, tupo pamoja people yaani one page, UKURASA MMOJA!

wILLIAM.
 
....FA kujifagilia ndani ya magamba kisha watampigia debe la nguvu kule Mtera ili achukue jimbo 2015. Wapiga kura wa Mtera wakishapewa ubwabwa, pilau na kanga na kofia za rangi za Yanga hawatatia neno.

Hilo jimbo litasikia maendeleo kwa mbaliiii, wakimchagua mbu mbu mbu kama huyu!
 
Dah. Nilikuwa nakuona tofauti sana especially nilipokuwa nasoma comments zako @ N.Y.C
na ulipoamua kugombea E.A
Hivi na wewe ni mtu wa kuanzisha blog yenye mauzui ya kina mange wa u-turn??
Some one who claims to be POLITICIAN???
Nshaconnect dots na scam flan ya blog iliyofungwa.
 
Yaani hili jamaa puuzi kweli, mimi huwa silielewi lipo kama lina mambo ya kichoko choko vile, hawezi kuwa hapumuliwi kisogoni, hayo maudhui ya kwenye blog yake yana msaada gani kwa jamii ni kama vile udaku udaku na tabia za kina mashostito.
 
MS aliwai kufungufua blog yake na kuipa promo humu jf na matokeo yake ikakosa mashabiki mwisho wa siku akaamua kufungua I'd mbalimbali ambapo akawa anaanzisha mada mwenyewe na kujijibu mwenyewe kwa I'd zingine alizofungua.
Sasa hii, mhh sidhani!!
 
William nimetembelea blog ila sijaelewa ni ya nini? ni kama wall ya fb? nazidi kukushusha hadhi yako thats not a blog kwa mtu mwenye exposure kama wewe. Do things like an elite kaka.
 
Yaani hili jamaa puuzi kweli, mimi huwa silielewi lipo kama lina mambo ya kichoko choko vile, hawezi kuwa hapumuliwi kisogoni, hayo maudhui ya kwenye blog yake yana msaada gani kwa jamii ni kama vile udaku udaku na tabia za kina mashostito.

kah! we kiboko!
 
Mkuu lugha yako kali mhh
Yaani hili jamaa puuzi kweli, mimi huwa silielewi lipo kama lina mambo ya kichoko choko vile, hawezi kuwa hapumuliwi kisogoni, hayo maudhui ya kwenye blog yake yana msaada gani kwa jamii ni kama vile udaku udaku na tabia za kina mashostito.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom