Ha ha ha! Nimecheka tena kwa laudi spika....Tena kabla ya kunywa anatakiwa awe ameshajichimbia kaburi ili asihangaishe watu, si unajua mvua siku hizi imeadimika kama miguu ya nyoka.
Safi sana, nilijua utaogopa maneno matupu ya husni, looh ningejua wewe sio rafiki wa kweli...Hawezi mimi tatoa yeye bu.sha
Zile past papers mwachie King'asti ntazipitia kesho wakati naenda shule.... Ubaki salama na wewe swahiba!Jamani ahsanteni wote mlionipa hongera, ahsante kwa wanafunzi wenzangu mlionipm tukabonga mawili matatu. Ahsante wote mlionisimanga, mi nasign out maana kavocha kwenye simu kameisha. Lol. Mbaki salama.
mtoto nani sasa?
Mwenzenu nina furaha ya ajabu. Naombeni pongezi zenu. Hongera wanafunzi wenzangu wote mliofaulu. Nawatakia masomo mema.
Ha ha ha! Nimecheka tena kwa laudi spika....
Safi sana, nilijua utaogopa maneno matupu ya husni, looh ningejua wewe sio rafiki wa kweli...
moskwito bana. Hivi kuna andaeji katika masomo ya baiolojia ya uzazi? Mwendhio amegradyueti fom foo a.k.a mtoto wa nne kila mtoto na babaye tena bila kufanyiwa operesheni. STUKA!
mtumeeee!?:shock:
lol,...sikujua nawe ni underage...
umepata div gani husninyo?
Jamani ahsanteni wote mlionipa hongera, ahsante kwa wanafunzi wenzangu mlionipm tukabonga mawili matatu. Ahsante wote mlionisimanga, mi nasign out maana kavocha kwenye simu kameisha. Lol. Mbaki salama.