Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

anapenda experiment ya hii topik.
Kama yuko anafanya hiyo, hawezi piga umbea hadi amalize

pole sana, hiyo topic ya reproduction utaisoma b'dae. Sahv muda wa kupiga umbea. Halafu kuna kitu gani kinaendelea we na kadakib? Mi nasoma btn lines ujue!
 
Ingekuwa ni enzi yetu ya Mwalimu,

pasingekuwepo na uchakachuaji wa namna hii!

Huu ni wizi mtupu!
 
Mmojawapo atakuwa ni yule alieshusha verse za bongo fleva..atajitaja mwenyewe....stay tuned
vipi kuhusu firstlady wakusoma, senator, figganigga na tusker baridiii? je wamefaulu?
 
Unataka hongera humu husemi umefaulu kivipi? Au hutaki kushauriwa mambo ya kusomea mbeleni? Weka grades basi tukufurahie zaidi.
 
hahaha sikutegemea kuipata hii toka kwako ,umenifanya nijisikie kukumiss sana rafiki..hongera sana kwani ulikuwa unasoma ST Kayumba or?
 
Back
Top Bottom